Wafungwa wamchezea bounsa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafungwa wamchezea bounsa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, May 31, 2011.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Bounsa moja alipopelekwa gerezani ile tu ameingizwa ndani akaanza kuwatishia wafungwa akisema''NASIKIA HUKU MNATABIA YA KUWACHEZEA WANAUME WENZENU KIMAUMBILE,LETENI UJINGA NITAUA MTU''ili kuonyesha yeye ni noma kwa masifa akapiga ukuta kwa ngumi halafu akaupiga tena kwa kichwa,bahati mbaya akazimia hapo hapo,baada ya mda kushtuka anashangaa ameshaloanishwa nyuma.
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh kichekesho gani hiki jamani
   
Loading...