Vijana wafungwa ambao wamepewa msamaha wa Rais Kabila lakini wamekataa msamaha huo na kusema wanataka watumikie kifungo chote walichofungwa na Mahakama hadi kiishe.
tumuone Koffi bure bure huku gerezani.Tafadhali jazia nyama habari yako. Hao wafungwa kwanini wamekataa msamaha wa rais,walihukumiwa kwa makosa gani....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]tumuone Koffi bure bure huku gerezani.
keko na ukonga wanataman hyo sherehe lkn hawaipatBasi hayo magereza mazuri sana
Huku segerea kila mtu anatamani sherehe ya kitaifa iwe kila siku ili waachiwe
Ingekuwa vema kama tungejua sababu ya kukataa huo msamaha.Vijana wafungwa ambao wamepewa msamaha wa Rais Kabila lakini wamekataa msamaha huo na kusema wanataka watumikie kifungo chote walichofungwa na Mahakama hadi kiishe.
Chanzo cha hii habari..!?Vijana wafungwa ambao wamepewa msamaha wa Rais Kabila lakini wamekataa msamaha huo na kusema wanataka watumikie kifungo chote walichofungwa na Mahakama hadi kiishe.