Wafungwa wagoma kula kwa siku tatu

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Kuna habari nimeisoma kwenye wall ya facebook ya waziri kivuli wa wizara ya ndani mh John mnyika kuwa serikali imeficha kuwepo kwa mgomo wa kula kwa siku tatu kwa wafungwa
nawasilisha
asanteni.
 
Gereza gani ambalo wafungwa wamegoma kula kwa siku hizo tatu (03) ulizobainisha? Fafanua, vinginevyo weka link hiyo ya Mnyika uondoe utata.
 
katika matembezi yangu mitandaoni, nikakwama kwenye usokitabu wa Mh. John Mnyika, nikakutana na Taarifa hii.



John Mnyika
Nimepata taarifa toka gerezani kuwa kuna wafungwa wamegoma kula tangu juzi lakini serikali inaficha
. John Mnyika Waliondolewa toka gereza la Ukonga; sasa wako gereza la Maweni Tanga. Condemns
Nimemjulisha Waziri kivuli wa Mambo Ndani aingilie kati kuepusha vifo

sasas najiuliza kwanini Serikali/Magereza wanakuwa kimya juu ya hili, au wanataka watu wafe kwanza ndio waanze kutuomba radhi ?

 
wanangoja posho kwanza, si unajua zimechelewa? wakipata posho ndo wataanza taratib za kuzuia vifo.
 
Back
Top Bottom