Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 19,916
- 38,593
Duuh maana naona hao malamute n wanapendeza hata kuwatazama.Mkuu hizo species ni ngumu kuzipata. Juzi hapa kuna jamaa yangu alitaka kununua katoto ka Cane Corso, bei yake tu ni over USD2500 halafu bado hujalipia mambo kibao kama vibali, usafiri n.k
Nadhani kama mtu ana mtaji akaweza ku breed species mbalimbali hapa bongo anaweza kupiga hela.
Usimfungie mfungulie aende mtaani kutongoza akiumwa njaa atakula mavi ya waleviNimepewa mbwa na mzee
wangu kama zawadi,
Ameshakuwa mkubwa kiasi
nimeenda kuwasalimu wazee
nikampenda mzee akanipa
ruhusa kumchukua.
Leo siku ya tatu niko nae
nyumbani ninapoishi
Ila kuna muda kananibwekea
na kunifukuza mpaka mimi
mwenyewe ninayempa
chakula,
Nitumie mbinu gani ili anizoee
haraka asije kunijeruhi siku
moja???
Koko unachukua?Kama kuna mtu ana mbwa wengi na hawauzi, naomba mmoja,kakiwa katoto itapendeza
Breed yoyote, cha msingi kanabweka
Wapo, nimewaona mitaa flani hivi kijenge, Arusha
breeder wapo wengi tu kuna natty dog, ph kennel, hand dogMkuu hizo species ni ngumu kuzipata. Juzi hapa kuna jamaa yangu alitaka kununua katoto ka Cane Corso, bei yake tu ni over USD2500 halafu bado hujalipia mambo kibao kama vibali, usafiri n.k
Nadhani kama mtu ana mtaji akaweza ku breed species mbalimbali hapa bongo anaweza kupiga hela.
nawapenda sana boerboel ila nahisi watakua na bei watu huwaogopa wakatili lakini pia ni fashion ukiwa unatembea nae
Aiseeee, kumbeeeeFahamu pia kuhusu German shepherd wa asili ya kitanzania: Kuna Tanzanian Local line ya German shepherd!!! Hawa ni wazuri sana pia kwa ulinzi. Wana miili midogo kiasi, na wana manyoa mafupi. Ila hata hawa local type wana masikio yaliyosimama wanayoweza kuyachezesha. Kwa kigezo cha masikio huwezi kuwatofautisha na German shepherd wa kizungu. Midomo yao ni mifupi, lakini ni wakali balaa!!! Kwa wanyamwezi mbwa hawa huitwa mbwa wa KIPUGE!! Tatizo lao ni kwamba ni vigumu kuwafundisha hata wakawa na nidhamu ya hali ya juu. Kwa mfano ukimpa nyama huwezi ukamnyang'anya!, atakuuma hata kama wewe ndo bwana wake!! Ukishika mtoto wake halafu huyo mtoto akalia uhesabu maumivu!! Ni vigumu kumfahamisha mipaka ya nyumba anayohitajiwa kufanya ulinzi. Kwa hiyo akimfukuza mtu atamfuata hata akitoka kwenye eneo la nyumbani. Akianza kumshambulia mtu ni vigumu kumzuia!! Tofauti kabisa na German shepherd aliyefundishwa, anashambulia kwa amri, ni mtiifu sana kwa bwana wake, kwa vyovyote vile hawezi kabisa kumshambulia bwana wake!!
Vipi pia kuhusu Pitbull hamna wakibongo bongo...?Fahamu pia kuhusu German shepherd wa asili ya kitanzania: Kuna Tanzanian Local line ya German shepherd!!! Hawa ni wazuri sana pia kwa ulinzi. Wana miili midogo kiasi, na wana manyoa mafupi. Ila hata hawa local type wana masikio yaliyosimama wanayoweza kuyachezesha. Kwa kigezo cha masikio huwezi kuwatofautisha na German shepherd wa kizungu. Midomo yao ni mifupi, lakini ni wakali balaa!!! Kwa wanyamwezi mbwa hawa huitwa mbwa wa KIPUGE!! Tatizo lao ni kwamba ni vigumu kuwafundisha hata wakawa na nidhamu ya hali ya juu. Kwa mfano ukimpa nyama huwezi ukamnyang'anya!, atakuuma hata kama wewe ndo bwana wake!! Ukishika mtoto wake halafu huyo mtoto akalia uhesabu maumivu!! Ni vigumu kumfahamisha mipaka ya nyumba anayohitajiwa kufanya ulinzi. Kwa hiyo akimfukuza mtu atamfuata hata akitoka kwenye eneo la nyumbani. Akianza kumshambulia mtu ni vigumu kumzuia!! Tofauti kabisa na German shepherd aliyefundishwa, anashambulia kwa amri, ni mtiifu sana kwa bwana wake, kwa vyovyote vile hawezi kabisa kumshambulia bwana wake!!
Mimi ninao watoto wa German Shepherd. Kwa sasa wana wiki 5. Nitaanza kuwauza wakifikisha wiki 6-8. Atakayebaki bila kununuliwa baada ya wiki 8, huyo sitamuuza tena. Nitakuja kumuuza aliwa na mwaka mmoja nivute pesa ya kufa mtu!!Nakaribia kuanza sasa biashara ya Mbwa rasmi. Wanakua vizuri. Nilikuja na kusema nimeanza kununua. Soon tunaingia sokoni. Mnikaribishe ndugu zangu.
Japo vipicha kiongoziMimi ninao watoto wa German Shepherd. Kwa sasa wana wiki 5. Nitaanza kuwauza wakifikisha wiki 6-8. Atakayebaki bila kununuliwa baada ya wiki 8, huyo sitamuuza tena. Nitakuja kumuuza aliwa na mwaka mmoja nivute pesa ya kufa mtu!!
Hawa Pitbul wanafanana sana na mbwa koko (ukiachilia mbali shepu ya mdomo), kwa hiyo hawana soko! Japo wana nguvu sana!! Ni kama huyu hapa.Vipi pia kuhusu Pitbull hamna wakibongo bongo...?
Nitatupia icha punde!!Japo vipicha kiongozi