Halafu kuna siku ntakuoa wewe,we subiri tu.
Mara ngapi? Ile posa umeahirisha?
Tatizo wasukuma siku hizi mnadai mahari kwa dola,ngoja nimwambie mbeba mabox Nyani Ngabu akishuka toka majuu aniletee,he owes me a favour.
Changamka mapema, ikifika October tunaanza kudai kwa Pound. Kuanzia 01 Jan 2014 tunaanza kutoza Kuwaiti Dinar.
Halafu we Kongosho wewe,ndo nin sasa kutokujibu piem zangu,unanikeraaaaaaaaaaa!!!!
Ya kwako iko PROFESSIONALLY PERSONALLY PRIVATELY
Mara ngapi? Ile posa umeahirisha?