Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Umemsahau LiverpoolFC pamoja na sweetlady
Nashukuru jana tulimaliza kikao salama,by saa saba na nusu wengi wetu tulikuwa home!!
Tulikuwa na taarifa za kiinteligensia kwamba polisi jamii huwa wanaanza kazi saa 8 usiku!!
kumbe kosa ni kufanya kikao tu?
Mie nilijua wizi wa kuku
hapo hamna kesi
hakuna kesi ya kujibu hapa......kwa sababu hatukukutana na polisi jamii......na hakuna hata mmoja aliyechomwa na kitu chenye ncha kali.......
guys , kikao gani mnaongelea hapa?
Preta hicho kitu chenye ncha kali kikoje ili nijiepushe siku nikihudhuria kikao cha harusi mida ya usiku nisikutane nacho.
guys , kikao gani mnaongelea hapa?
Ofcourse alimsindikiza dada yake ambaye ni mwl! Lol