faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,596
- 1,724
- Thread starter
- #21
Wew nakujua ulipo sina haja ya kukuulzaMbona mi hujaniulizia?
Wew nakujua ulipo sina haja ya kukuulzaMbona mi hujaniulizia?
Ukiona hujui walipo fahamu kuwa HAWAKUHUSU.Ningependa kujua wafuatao walikuwa watumishi wa umma wako wapi
1.Alikuwa kamishna TRA makontena ya bandari yakamtoa kwenye system
2. Edward Hosea takukuru
3.Felix wa Ewura
4.Engineer wa tanesco alikuwa mkurugenzi jina limenitoka
5.Aliyekuwa anatangaza watu kutumbuliwa pale ikulu naye yakamkuta
6.Sospeter Mhongo
7.Simbachawene
8.Masamaki wa TRA bandari
9.Magesa mlongo
10.Abas kandoro