Wafuatao wako wapi?

Wafuatao wako wapi?

faru john junior

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2016
Posts
1,596
Reaction score
1,724
Ningependa kujua wafuatao walikuwa watumishi wa umma wako wapi
1.Alikuwa kamishna TRA makontena ya bandari yakamtoa kwenye system
2. Edward Hosea takukuru
3.Felix wa Ewura
4.Engineer wa tanesco alikuwa mkurugenzi jina limenitoka
5.Aliyekuwa anatangaza watu kutumbuliwa pale ikulu naye yakamkuta
6.Sospeter Mhongo
7.Simbachawene
8.Masamaki wa TRA bandari
9.Magesa mlongo
10.Abas kandoro
 
Huu sasa ni Uchochezi ..ukiitwa kituo cha kati kutoa maelezo usipige mayowe.
 
mbona wanaishi fresh tuu, mlango mmoja ukifunga kuna milango millioni ipo wazi, wapo wanapiga pesa zao kama kawaida ktk njia ambayo mungu amewapangia kama wewe
 
Ningependa kujua wafuatao walikuwa watumishi wa umma wako wapi
1.Alikuwa kamishna TRA makontena ya bandari yakamtoa kwenye system
2. Edward Hosea takukuru
3.Felix wa Ewura
4.Engineer wa tanesco alikuwa mkurugenzi jina limenitoka
5.Aliyekuwa anatangaza watu kutumbuliwa pale ikulu naye yakamkuta
6.Sospeter Mhongo
7.Simbachawene
8.Masamaki wa TRA bandari
9.Magesa mlongo
10.Abas kandoro
Nenda majumbani kwao utawakuta.....kama una shida nao mbona wapo na wengine nje ya nchi kama kawaida tu.
 
Namba 6: atakuwa anajihusisha na uvuvi, Mramba F huyu atakuwa RSA.

Namba 10 Salaam zimfikie popote alipo.
 
Ningependa kujua wafuatao walikuwa watumishi wa umma wako wapi
1.Alikuwa kamishna TRA makontena ya bandari yakamtoa kwenye system
2. Edward Hosea takukuru
3.Felix wa Ewura
4.Engineer wa tanesco alikuwa mkurugenzi jina limenitoka
5.Aliyekuwa anatangaza watu kutumbuliwa pale ikulu naye yakamkuta
6.Sospeter Mhongo
7.Simbachawene
8.Masamaki wa TRA bandari
9.Magesa mlongo
10.Abas kandoro
Kuna kitu kinakutafuta endelea kufukua makaburi
 
Back
Top Bottom