Wafuatao wajiuzulu sasa

Wafuatao wajiuzulu sasa

Ni vyema tukaweka aidha video au audio ya waziri wa sheria Zanzibar wakati akithibitisha uongo wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar.
 
Suala la katiba mpya si kati ya chama tawala na vyama vya upinzani bali washika dau wakubwa ni Serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzbar. Waziri Chikawe na Wabunge wa ccm wanafanya kosa kudhani ni suala la wao na wapinzani. Ilikuwa lazima kushughulikia suala lolote linaloigusa Zanzbar badala ya kulitengenezea mizengwe!
 
ccm is nothing but a bunch of mafioso looting our country,may GOD send them in eternal fire..
 
Yaani we Mkuu unnichanganya sana sielewi uko side ipi kati ya hizo (CDM au CCM) maana hata kwenye neutrality haupo

Kipi kinakuchanganya Mkuu? Mimi ni Kamanda wa Cdm! Kama tunadanganywa katika swala la katiba tena bungeni vipi kuhusu maswala ya Fedha? Asante sana Waziri Bakari kwa kuzidi kututhibitishia kua Ccm inacheza Rafu katika huu mchakato wa katiba!
 
Back
Top Bottom