Wafuatao hawatakiwi ktk bunge la tanzania 2015

John Mnyika. wananchi wake wanalalamikaZitto Kabwe. Anataka kugombea urais wa CDMmbowe. mahakama itamuhukumu . kwa hivyo hatakuwa na sifa kisheria kugombea Ugunge
u have made my day! Malaria sugu sie ubungo tunamtaka mtatiro 2015
 
huyu ana akili?

walimsifu kwenye post yake ya kuwataka viongozi wa ccm kuja jf kujibu mapigo! cha msingi aeleze wananchi wqa ubungo wanalalamika nn, je ni kosa m2 kugombea urais kama sifa anazo, ameshakuwa hakimu tayari kumuhukumu mbowe? au tayari hukumu anayo anasubiri tu kusomewa. kinachojionesha kwa m.s ni kwamba hawa aliowataja ndo tishio kubwa kwa ccm ni watu wanajenga hoja makini, hawa wakisimama bungeni wabunge wa ccm, mawaziri wanakuwa makini kuangalia wapi wataomba muongozo wa spika!
 
kuna wabuinge mle ndani hata mic zao hawajawahi kuzitumia zaidi ya dakika 10 wanazitumia tu wakati wa kupiga kura ya kuunga hoja au kupinga hoja!
 
Mmemsahau Dk Hamis Andrea Kigwangalla
( Kutumia Jina Feki,kushindwa kutimiza ahadi ya maandamano kwa wapiga kura wake,kuwakilisha hoja Bila mpangilio Mjengoni,Kutojulikana ansimamia Nini mtakumbuka Alivoibuka kumpinga LISSU wakati akihubiri kupinga kampuni za madini)
 
Naona kila mmoja anaweza kuja na sababu yake ila wote hao wa ccm na wale wa ndioooooooo huku wananchi tunakufa wote kwishnei
 
Lyatonga Mrema - Kachoka kimwili na kisiasa, anatafuta posho tu bungeni
Agripina Buyogera - Hana point anapoongea, hana kiwango, darasa la saba
John Shibuda - Mlafi
Abdulaziz abood - fisadi la kihindi
Aden Rage - Sio raia, anakurupuka
Juma Nkamia - Hana tija
Mch. Getrude Rwakatare - Ni mjasiriamali zaidi, mnafiki, anachezewa kirahisi na shetani, arudi kanisani
John cheyo - Apumzike, apishe wengine ndani ya UDP
Samwel Sitta - Agombee urais
Hamis Kigwangala - Anatumiwa na mafisadi

Hizi ndoto za Sitta siyo za Mchana kweli? atagombea kwa chama gani! sijui ila CCM ameshakiuka kanuni za CCM ambazo zinamtaka mgobewa wao kuwa Mkimia hasiye ongea lolote na hasiye kisema chama popote! Kama kikwete alivyo kuwa wakati wa Ben na kama Magufuri, Mwandosi, Mwinyi, Hatibu, RA walivyo kimia sasa hivi nadhani hao ndio wanakidhi vigezo vya CCM hadi sasa labda na Mzee Malecela kama bado hajakata tamaa.
 
Sababu kwanini Wasira hafai...
  1. Analala bungeni......
  2. Ni mzee sana anashindwa kwenda na spidi ya bunge la sasa.........
Mwingine ni naibu Spika Job Ndugai sababu: amekua bungeni kwa kipindi cha 3 1.Hakuna maendeleo yoyote i.e barabara mbovu 2.Amekua hana mchango wowotr ndani ya Bunge 3.Ameshindwa kuitisha vikao vyovyote na wapiga kura wa Wilaya ya Kongwa,totally hafai kurudi
 
Back
Top Bottom