Wafuatao hawatakiwi ktk bunge la tanzania 2015

aongezwe na LISSU
lissu yupi? Km unammaanisha Tundu Lissu sikuungi mkono hata kidogo mi nadhani Tundu ni mwanasheria mzuri sana anayeaminika na mataifa makubwa kama Marekani nk. Hvy kwa elimu yk anahtajika saaana bungeni, we huoni kwa uzoef wk wa sheria kambana mama Makinda mpaka akapunguza spidi ya uonevu kwa wapinzani
 
aongezwe na LISSU
MS...una matatizo ya akili. That guy is hot ndio maana hata JEYKEY alionya wakati wa kampeni kule jimboni kwa LISSU kuwa ni heri kumpa kura DR. SLAA than lissu maana anafahamu udhalimu wa serikali yetu!
 
Haya tumewasikia, ngojeni 2015 muwachague mnaowataka, hao ndio waliochaguliwa na wananchi kwa sasa.
 
Haya tumewasikia, ngojeni 2015 muwachague mnaowataka, hao ndio waliochaguliwa na wananchi kwa sasa.

2015 Hatuchukui crap...we ngoja ndo tunajipanga vijana na ndio priority...tumechoka na wazee tangu enzi za Nyerere wapo Bungeni...tu hakuna wanachofanya ni kula posho tu....
 
wa ccm wote wafutwe kwa kuharibu meza za bunge kwa ushabiki wa kuzipigapiga holela.
 
The biggest thick head is Mkuchika! Huyu hajui hata maana ya uendeshaji wa shughuli za serikali,
Na huyo Gasia je? Kuzubaa tu hadi akosolewe na Kikwete mbele ya watumishi wa chini yake kwenye ziara zake wizarani!

Ndio taabu ya kuwapa watu vyeo kwa sababu za siasa!
 
Lyatonga Mrema - Kachoka kimwili na kisiasa, anatafuta posho tu bungeni
Agripina Buyogera - Hana point anapoongea, hana kiwango, darasa la saba
John Shibuda - Mlafi
Abdulaziz abood - fisadi la kihindi
Aden Rage - Sio raia, anakurupuka
Juma Nkamia - Hana tija
Mch. Getrude Rwakatare - Ni mjasiriamali zaidi, mnafiki, anachezewa kirahisi na shetani, arudi kanisani
John cheyo - Apumzike, apishe wengine ndani ya UDP
Samwel Sitta - Agombee urais
Hamis Kigwangala - Anatumiwa na mafisadi
 
Tukiamua kuorodhesha wabunge wabovu tutachoka kuandika na inawezekana kabisa server ya JF ika-crush. Turahisishe kazi kwa kuorodhesha wabunge makini...
Kutokana na viwango vya sasa vya posho, naamini kuwa hadi mwaka 2015 wabunge wote watakuwa wameshapata kiasi cha kutosha cha fedha cha kuwawezesha kuanzisha miradi ya kuuchumi, Hivyo, ningeshauri wote waonhdoke, waingie wapya na wao wakishapata mtaji baada ya miaka mitano, waondoke, waje wengine.... tuendelee hivyo hivho ili kuwawezesha watanzania kiuchumi.
 
Nntondole Murji(Mtwara Mjini)...mtoa rushwa namba 1, ni bubu akiwa bungeni!!...ni RA namba 2

HA HA HAaaaaaaaaaaaa! mkuu umenikumbusha wakati wa kampeni huyu jamaa alichapisha fulana na mabango yakiwa na neno NTONDOLE murji nikajua ntondole ni jina lake kumbe ina maana ya CHANGUA kwa kimakonde. infact huyu jamaa hana tofauti na R.A imagine wakati wenzake wakiwa bungeni wakichangia bajeti ya waziri mkuu yy yuko mtwara kwa raha zake!
 
Back
Top Bottom