Wafuasi wa Uamsho waiamsha Zanzibar.........endelea kuona picha hizo


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Waziri wa Sheria na Katiba Mhe Celina Kombani, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe Steven Wassira, Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Adama Malima na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kurejea nchini leo Jumanne Oktoba 10, 2012 akitokea katika ziara ya Kikazi ya Marekani na Ziara Rasmi ya Kiserikali ya Canada.
 


"MSISUSIE VITAMBULISHO VYA MTANZANIA" Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa tawi la Chama hicho jimbo la Magogoni Wilaya ya Magharibi Unguja.
 


Kongamano la katiba lililotayarishwa na kamati ya maridhiano Zanzibar linalofanyika Bwawani tayari viongozi wameshafika
 

ALI AMEIR MOHAMMED AKITOA NENO LA SHUKRANI KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA WILAYA YA KASKAZINI B. HEKAHEKA ZA UCHAGUZI VIJANA WAWEKWA PEMBENI NA CHAMA LICHA YA KUAHIDI KUWAPA NAFASI
 

Tafadhali nunua kadi hii kwa shilingi 50,000 kwa ajili ya kuwasaidia Watu Wenye Ulemavu Zanzibar. Ni Fund Raising itayofanyika kesho usiku
 


Dk Shein na Maalim Seif watoa darasa la utawala bora kwa masheha na madiwani na wametakiwa kutokuwa chanzo cha migogoro nchini - with dct shein.
 

Miti inayokatwa hapo michenzani kwa ajili ya kutengeneza maeneo ya pembezoni mwa michenzani jeee una maono gani juu ya hili
 


Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni na Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. Khatima ya viongozi wenu wa Zanzibar mtaipata tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…