Wafuasi wa Gbagbo kushambulia Gulf Hotel

charles ble goude ndio huyo waziri mpya aliyeteuliwa juzi hapa na gbagbo.sasa unajua tena mtu kaupigania ulaji bhuo siku nyingi mara leo anaupata halafu wanatolewa madarakani.
 
Inasikitisha sana maana tayari Liberia imeomba misaada kutoka Mashirika ya Msalaba Mwekundu na Mwezi Mwekundu ili kukabiliana na wakimbizi ambao wengi wao ni watoto,akina mama na wazee ambao tayari wapo huko, sasa hii itakuwa hatari zaidi maana wakimbizi wataongezeka zaidi na misaada itahitajika zaidi na zaidi wakati tatizo ni uroho wa madaraka kama TZ akina JK
 
Wafuasi wa Gabgbo hawaendi kushambulia hotel du golf, wao wamesema wataandama kuelekea hotel du golf, wamesema maandamano yao ni ya amani na hawatafanya fujo na wala hawatakuwa na silaha yoyote, wanamtaka Allase Ouattara aondoke hotelini. Pia jana chama cha Bedie ambaye nae ameungana na Ouattara walifanya mkutano na kuamua kuwa nao kesho wataenda hotel du golf kumchukua raisi wao ambae nae pia kahamia hotel du golf.

Source: RTI
 
Back
Top Bottom