Kada wa CHADEMA
JF-Expert Member
- Feb 27, 2016
- 289
- 615
Naanza kumuogopa Lizaboni. Huyu jamaa ni zaidi ya tunavyomhitaji humu JF. huyu jamaa anafanya kazi kubwa sana kwa manufaa ya chama chake na Taifa kwa ujumla.
Ni huyu huyu Lizaboni aliyetujuza juu ya kutokea kwa mitikisiko mkubwa ndani ya CHADEMA ambao haijawahi kutokea . Haijapita hata Juma moja Dr Slaa huyoooo akang'atuka.
Huyu Lizaboni inavyofika kipindi cha michakato mbalimbali ndani ya chama chake, anajitoa zaidi kuangalia maslahi mapana ya chama na si kujiegemea kwa watu ili kujaza tambo lake. Amefichua njama kadhaa za watu waliokuwa wanakihujumu chama chake. Mpaka sasa, hakuna mtu aliyefichuliwa na Lizaboni akabaki salama. Kuanzia Lowasa, Membe, Nchimbi, Luhwavi, Msukuma, Bashe nk
CHADEMA hatuna mtu wa design ya Lizaboni hata mmoja. Wengi wamegeuka kuwa watetezi wa viongozi Binafsi nimeanza kuiga tabia ya Lizaboni ijapokuwa humu ninaitwa msaliti
Tubadilike