Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,652
- 2,696
CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana