Wafuasi takribani 1,000 wa CHADEMA Arumeru wahamia ACT-Wazalendo

Cybercrime

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
3,246
1,113
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na Mwenyekiti wa Kata ya Nkwandurua Wilaya ya Arumeru , Samwel Shami pamoja na takriban Vijana 1,000 wa kata hiyo wamehamia Chama cha ACT-Wazalendo.

Chanzo: Raia Tanzania.

 
Kwa ufupi kusema vijana elfu kata ya NKOANRUA inaharamisha habari nzima.

Mhuni mmoja aliyekosa nafasi ya kugombea asitufanye majuha.

Kuitisha kikao yenye watu 20 alishindwa hao elfu kawatoa wapi
 
Siasa ni kitu cha ajabu sana. Juzi, uongozi wote wa ACT mkoa wa Morogoro ulihamia Chadema. Leo, Arumeru wanahama Chadema kuelekea ACT! Naona ngoma ni dro.
 
Dr Slaa, wewe u mzalendo wa kweli..! Uliposema Lowasa fisado, kweli ulinaanisha na umekuwa radhi kulala njaa kuulinda ukweli huo. Lakini usijali, Tinga tinga linaanzisha mahakama ya majizi na mafisadi, kwa hiyo yeyote an anayejitapa mtaani kuwa wampeleke mahakamani basis mahakama hiyo inakuja, akajiandae kunyea debe.
 

haa haa na jk yumo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…