Wafu wakichomwa moto .usiangalie kama ni mwoga

Ni kawaida mkuu nilishahudhuria mara mbili kwenye hiyo sehemu wenyewe wanaiita funeral home,
 
Kwann wanafanya hivyonimeangalia huku naogopa wakimaliza wasaga kbs mifupa daah wana roho ngumu sana
 
Halafu hayo majivu wanakuwekea kabox kadogo wanakuletea hapo home kwako .uamue uweke darini au upeleke baharini au upande kwenye mlima mrefu kama kilimanjaro uachie hayo majivu yapeperushwe na upepo. Au Kuna sehemu maalumu wanaweka .
 
Back
Top Bottom