Wafu fm

Wafu fm

BORNCV

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
242
Reaction score
46
Ndugu zangu wanaJF HBR ZA KAZI?
Naomba kuuliza japo naweza kuambiwa mshamba au vipi. Hivi wafu fm ni redio gani, maana sijawahi isikia Tanzania, na kwanini imeitwa wafu fm?
Au inahusika kutangaza matangazo ya vifo.
 
Hujawahi kuckia radio ina jingle "blouse fm, radio ya wafuuu"
 
Back
Top Bottom