Wafrika tuna mambo!

Najiuliza ni Timu ya mpira au ni kikundi cha Utamaduni.......
 
Hiyo hatari sasa, hapo sio Ugandaa!
 
yaani hawa wameona migongo yao ina thamani kuliko makalio yao??
 
Ole wao waende mombasa au zinjibar....!manake kwa kuangalia kwa haraka tu zote ni tight mark still new brand
 
Hii bila shaka itakua Ngololo, ila watatu kutoka kushoto imekolea maana mpaka anonesha na kidole katikati!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…