wafaransa wanamuhitaji Obama akagombee uraisi nchini mwao uchaguzi ujao...!!!

soweto85

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
301
247
wananchi wengi nchini ufaransa wamesema wangependa raisi mstaafu wa Marekani Obama aende nchini humo kugombea nafasi ya uraisi, mdau wa jf una wazo lipi ? chanzo TBC.
 
Ni ngumu kuamini kutokana na chanzo cha habari.
 
wananchi wengi nchini ufaransa wamesema wangependa raisi mstaafu wa Marekani Obama aende nchini humo kugombea nafasi ya uraisi, mdau wa jf una wazo lipi ? chanzo TBC.

Sio wakweli. Wafaransa wameshindwa kukaa na wageni toka nchi zingine katika usawa leo wamhitaji mtu mweusi akawaongoze? Sidhani!
 
Nimesikia wanafanya hivyo ili kuwataarifu hao waliopo hawafai!
 
Back
Top Bottom