Wafanyakazi wote wa serikali na mashirika ya umma watumie simu za TTCL

Kama watanunuliwa simu na vocha...
ofisi bado zinatumia hizi simu...lakini huwezi kumlazimisha mtumishi ambaye hata hujui simu kaipataje eti atumie TTCL
 
Hakuna kitu kinanishangaza kuona kuwa serikali ina shirika lake la simu halafu hawalitumii kisha wanalishangaa eti linaelekea kufa.

Serikali ilazimishe simu zote za maofisini na mikononi za kiofisi za wafanyakazi ziwe za TTCL

Hawavitaki vyao wanapenda vya wageni, ndiyo maana hata matibabu yao ni nje ya nchi, elimu kwa watoto wao ni nje ya nchi, shopping zao ni nje ya nchi, mapumziko yao ni nje ya nchi, uwekezaji wao ni nje ya nchi, account zao ni nje ya nchi, mikataba yetu inasainiwa nje ya nchi, marafiki zao wakubwa wapo nje ya nchi...
 
Mkuu umenifungua macho.Kumbe tuna DIASPORA wa aina mbili

1.Diaspora wanaoishi nje ya nchi
2.Kuna Diaspora wa ndani ya nchi hawa kila kitu cha nje kwao ndio kizuri.Hawa ma-diaspora wa ndani ni wabaya mno kwa mtizamo wangu.
Halafu utawasikia wanabwata kwenye majukwaa kuwa watu wawe wazalendo.Utakuwaje mzalendo wakati kitu chako mwenyewe hukitumii.Kama viongozi wa serikali na vyama vyote vya siasa kama kweli ni wazalendo wahamie TTCL.Wafunge simu za TTCL maofisini na watumie simu za mkononi za TTCL.Haiwezekani shirika lianzishwe kwa kodi za wananchi halafu serikali na viongozi wa vyama vyote vya siasa waone vya nje ndio bora kuliko vya kwao.Wabunge wote na viongozi wote wa siasa na wafanyakazi wote wa serikali na vyama vyote vya siasa watumie TTCL
 
Ni kweli kabisa, pia hao viongozi wangetumia huduma za umma mfano matibabu wapate kwenye hospitali za serikali (kwa kupanga foleni kama wengine), watoto wao wasome kwenye shule za serikali, account zao ziwe kwenye mabank ya serikali japo walishayapiga mnada kwa makaburu, vilevile wasafiri kwa public transport kwa kuwa kwa kufanya hivyo watapata feeling ya huduma zinazotolewa na watendaji waliochini yao na kuziboresha vinginevyo nyimbo za majukwaani hazitaisha
 
Back
Top Bottom