Brainy Chick
Member
- Mar 9, 2013
- 64
- 21
Habari wadau!
Wafanyakazi wa hii Bank nimewanyooshea mikono.Haijalishi ni tawi gani au mkoa gani nitaenda nitakayo kutana nayo ni yaleyale. Naishia kujiuliza wanastress, mishara midogo au ndio hulka zao??Maana ni full nyodo+service kama amelazimishwa vile,unaweza susa na shida ni yako.Sijui ni kwangu tu au ni kwenu nyote
Watanzania wote tuko hivyo, sio hao tu nenda kila Ofisi mambo ni hayo hayo tu, halafu wamejaa humu wanailaumu CCM kwa kila kitu!
Watanzania wote tuko hivyo, sio hao tu nenda kila Ofisi mambo ni hayo hayo tu, halafu wamejaa humu wanailaumu CCM kwa kila kitu!
Sio kote bro,mi CRDB nawapa sifa yao.Sijawahi kuexperience mambo niliyoyaexperience NMB.
Mkuu Kijakazi, kwa ufupi suala zima la ubora wa huduma au kusikiliza wateja (Customer service) hapa kwetu ni tatizo kubwa sana, na sio NMB tu. Nenda bar, nenda mgahawani nenda kwenye makampuni ya simu, mambo ni yaleyale.
Kiasi kwamba mtu akikuhudumia vizuri unashangaa, tena unatamai umuulize wewe ni mtanzania? We need to change
Una mkono wa birika weye. Hebu wape elfu tano uone watakavyokuwa wanakuchangamkiaHabari wadau!
Wafanyakazi wa hii Bank nimewanyooshea mikono.Haijalishi ni tawi gani au mkoa gani nitaenda nitakayo kutana nayo ni yaleyale. Naishia kujiuliza wanastress, mishara midogo au ndio hulka zao??Maana ni full nyodo+service kama amelazimishwa vile,unaweza susa na shida ni yako.Sijui ni kwangu tu au ni kwenu nyote
Una mkono wa birika weye. Hebu wape elfu tano uone watakavyokuwa wanakuchangamkia
ushawahi kwenda pale crdb mlima ukakutana na yule binti mweupeeeee...sijui wa mkurugenzi!!!Sio kote bro,mi CRDB nawapa sifa yao.Sijawahi kuexperience mambo niliyoyaexperience NMB.
alternatively, hamia benki nyingine. Mimi niliwakimbia miaka mitano iliyopita.Haya mambo haya, paying for a service you deserve/already paid for!!
sijui hii elimu ya customer service ingeanza kufundishwa toka chekechea!naaam tukue na hii elimu labda itatuongezea ustaarabu!Mkuu Kijakazi, kwa ufupi suala zima la ubora wa huduma au kusikiliza wateja (Customer service) hapa kwetu ni tatizo kubwa sana, na sio NMB tu. Nenda bar, nenda mgahawani nenda kwenye makampuni ya simu, mambo ni yaleyale.
Kiasi kwamba mtu akikuhudumia vizuri unashangaa, tena unatamai umuulize wewe ni mtanzania? We need to change
ushawahi kwenda pale crdb mlima ukakutana na yule binti mweupeeeee...sijui wa mkurugenzi!!!
umeona eeeh!hivi hizi kozi za kutujali wateja huwa si sehemu ya masomo yao!Kuna siku kadi yangu ya benki ilinasa namanga kwenye ATM ya CRDB, maelezo kwenye risit yanasema hiyo ATM inahudumiwa na CRDB nlimani branch, kesho yake nilipoenda mlimani na kukutana na wahudumu wa CRDB, niliishia kurudi kwenye benki yangu na kuomba ATM card mpya.
shughuri iko kwenye madaladala!!Watanzania wote tuko hivyo, sio hao tu nenda kila Ofisi mambo ni hayo hayo tu, halafu wamejaa humu wanailaumu CCM kwa kila kitu!
sijui hii elimu ya customer service ingeanza kufundishwa toka chekechea!naaam tukue na hii elimu labda itatuongezea ustaarabu!
kweli kabisa watanzania wote mkuu,mtu akivaa kitai full nyodo,mwizi,mvivuWatanzania wote tuko hivyo, sio hao tu nenda kila Ofisi mambo ni hayo hayo tu, halafu wamejaa humu wanailaumu CCM kwa kila kitu!
alternatively, hamia benki nyingine. Mimi niliwakimbia miaka mitano iliyopita.
Makampuni yaliyopewa tuzo ya kuwa super brand kutoka secta mbalimbali ni kama ifuatavyo......NMB imeongoza kibenki kwa huduma kwa mwaka 2012,ITV kwenye television.......iyo ni tafiti kaka asa tukuskize wewe au trusted research and statistics company