Wafanyakazi wa kutwa Bandarini wanalipwa Shilingi 9,000 - hii inasaidia nini?

mosses jr

Member
Apr 25, 2022
6
26
Mheshimiwa waziri wa uchukuzi kila siku anakuja bandarini kuzunguka na kukagua ina maana hili suala tuseme halijui kuwa watu hawana mikataba na hawana vifaa vya kujikinga na pesa wanayolipwa ni 9000?

Hivi kweli mtu ana professional kabisa unakuta operator au Karani au technician elfu inamsaidia kitu gani?

Hii nchi siasa ni nyingi kuliko kujali maslahi ya wafanyakazi na taifa.
 
Kuna watu hata elfu 2 hawapati,

Shukuru Mungu kwa ukipatacho
 
Ama kweli hatutosheki na tunavyovipata.

hivi wale wanaofanya kazi external wanalipwa 3,000 wao wasemeje?

halafu ni wengi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…