Wafanyakazi wa kutwa Bandarini wanalipwa Shilingi 9,000 - hii inasaidia nini?

mosses jr

Member
Apr 25, 2022
6
26
Mheshimiwa waziri wa uchukuzi kila siku anakuja bandarini kuzunguka na kukagua ina maana hili suala tuseme halijui kuwa watu hawana mikataba na hawana vifaa vya kujikinga na pesa wanayolipwa ni 9000?

Hivi kweli mtu ana professional kabisa unakuta operator au Karani au technician elfu inamsaidia kitu gani?

Hii nchi siasa ni nyingi kuliko kujali maslahi ya wafanyakazi na taifa.
 
Mheshimiwa waziri wa uchukuzi kila sku anakuja bandarini kuzunguka na kukagua inamaana hili swala tuseme halijui kuwa watu hawana mikataba na hawana vifaa vyakujikinga na pesa wanayolipwa ni 9000,hivi kweli mtu ana professional kabisa unakuta operator au Karani au technician efu inamsaidia kitu gani?hii nchi siasa ni nyingi kuliko kujali masirahi ya wafanyakazi na taifa
Kuna watu hata elfu 2 hawapati,

Shukuru Mungu kwa ukipatacho
 
Back
Top Bottom