Wafanyakazi wa kiwanda cha URAFIKI wagoma tena

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Mgogoro wa wafanyakazi wa kiwanda cha URAFIKI unaonekana bado haujatatuliwa.

Leo wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha URAFIKI kilichopo eneo la Ubungo Jijini Dar, wamegoma tena wanaendelea kushinikiza uongozi wa kiwanda hicho kuwalipa posho zao.

 
Yule mkuu wa wilaya alishindwa maliza matatizo yao kwani
 
Kiwanda cha urafiki ni jipu mojawapo... kuna wafanyakazi walipunguzwa kazini miaka 10 iliyopita mpaka leo bado hawajalipwa mafao yao
 
Back
Top Bottom