Wafanyakazi wa EROLINK upande wa Call Center ya TANESCO hatuingiziwi stahiki zetu za NSSF

Wafanyakazi wa EROLINK upande wa Call Center ya TANESCO hatuingiziwi stahiki zetu za NSSF

Kayugumis

Senior Member
Joined
Jun 6, 2022
Posts
140
Reaction score
126
Mimi na Wafanyakazi wenzangu wa EROLINK hasa ambao tupo upande wa Call Center ya TANESCO hatuwekewi stahiki zetu za malipo ya NSSF zetu licha ya kwamba tumekuwa tukikatwa kila mwezi.

Ahadi zimekua nyingi lakini hakuna kinachofanyika, tumekwisha kuongea na Afisa Uhusiano anaeshugulika na mafao na madai lakini naye amekuea hajibu simu wala meseji na kila tukimpigia hapokei simu.

Tunaomba ujumbe huu ufike kwa Viongozi wetu wa Juu wajue tunafanya kazi tukiwa na masononeko kwa kuwa stahiki zetu hazifikishwi na itakapofikia hatua tunaondolewa kazini au kuondoka wenyewe itakuwa ngumu kufuatilia.
 
Bongo bahati mbaya yaani tanesco wameshindwa kuajiri watumishi mojakwamoja wameamua kutengeneza kampuni ya kidalali?
 
Sio uko tu ao Erolink ata upande wa Dstv call center wapo ivoivo
 
Back
Top Bottom