Wafanyakazi hasa kada ya uwalimu wako "desperated "

Wafanyakazi hasa kada ya uwalimu wako "desperated "

Ngurubhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,840
Reaction score
1,049
965b2276ada75658718700b86d899c4e.jpg

Nimejarbu kupita karibu shule zaidi ya 300, nikitembeza vi-handouts kwa masomo mbalimbali. Awamu ya kwanza nilitembeza mkoa wa Dar es salaam, kisha Iringa, Moro, dom, singinda na Tabora. Nilikutana na walimu kadhaa maofisini wakiwa na ari ya kufany kazi sana. Hata wengine walininyima kabisa muda wa kuwashawishi wanafunzi kununua handout zangu, kuwa hawana muda.

Nimepita awamu hii hasa kwa mikoa hii hasa wakati huu yaani baada ya mwezi JULY kuja bila ongezeko WALIMU WALIO WENGI WAMEKATA TAMAA. WANAFANYA TU KWA SABABU HAWANA NAMNA NYINGINE.

LAKINI KUNA KITU NIMEGUNDUA JAPO KINAWEZA ONEKANA KIDOGO, KUWA mkoa wa dar es salaam unawalimu wa kike wengi sana ukilinganisha na shule za huko mikoani.

Madhara yake walimu walio wengi wakipata mimba, au akijifungua ndo hafanyi kazi tena effectively. Na watoto wanakuwa hawana mwl japo anahesabika yupo!

Kwa utashi wangu mdogo walimu wa kike pia wanashindwa kupambana na aina ya wanafunzi watukutu wa dar hii inapelekea Dar kufanya vibaya kitaluuma kitaifa. Puuzeni lakini nimeyaona hayo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuunge hoja kwani nami nimetembelea baadhi ya shule za msingi na sekondari za mkoa wa Dar na kushuhudia walimu wakifanyakazi katika mazingira magumu mno! Yaani mkondo mmoja una wanafunzi 105 darasa la sita! Hebu tuambizane ukweli tu humu. Huyu mwl.anawezaje kuwafundisha hawa watoto kwa dk. 40 tu na wakamwelewa? Na mkuu wa mkoa naye anawabeza walimu akiwadai ufaulu kwa staili hii atapataje?
Licha ya morali ya walimu kushuka bado wanajitahidi kufanya kazi kwa moyo japo wamezidiwa na idadi kubwa ya wanafunzi.
Hebu basi, serikali iifanye elimu kuwa kipaumbele namba moja badala ya mabarabara! Mwalimu naye ni mtu na hakuna cha kiwanda bila mwalimu!
 
Nidhamu ina uhusiano Mkubwa sana taaluma hili sikatai!!

Lakni ukorofi wa mwanafunzi si jukumu LA mwlm hao wakorofi wafikishwe sehemu husika

acha uongo
Nimekuwa nakutana na wanafunzi wanapiga makelele, na wakimuona mwl wa kike wala hawaachi. Lkn wakimuona wakiume utaona wanakaa kimyaa.. Lakini pia hata nikiwa natambulishwa tu huwa naona utofauti mkubwa sana kati ya wanafunzi wanavyomchkulia mwl wa kike na wakiume...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa nakutana na wanafunzi wanapiga makelele, na wakimuona mwl wa kike wala hawaachi. Lkn wakimuona wakiume utaona wanakaa kimyaa.. Lakini pia hata nikiwa natambulishwa tu huwa naona utofauti mkubwa sana kati ya wanafunzi wanavyomchkulia mwl wa kike na wakiume...

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya Uhuru wa bendera Kwa nchi za afrika(flag independence of African state) unajua nini kilifata Kwa jamii za kiafrica! Hiki hapa -second reberation of women

Kwamba baada ya Uhuru ni harakati za kumkomboa mwanamke sasa,wanawake wanachukuliwa simple sana sio hapo Dar pekee hii ni dhana imejengeka Kwa watu weusi ambayo inaweza kuondolewa na wanawake wenyewe Kwa kujibihidisha katka kazi

Swali? Nikuulize mbona kuna walimu wa kike wanaogopwa na wanafunzi?

Anyway !!! Assignment sir tafti kama msomi

acha uongo
 
Kwa dar na walimu wa kike inaweza isiwe sahihi sana, lkn kuwa walimu wakipata mimba wanaacha kufanya kazi sawasawa inaweza kuwa sahihi..

Walimu kukata tamaa hilo watajua wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom