gerry ZaNtes
Member
- Jan 1, 2014
- 25
- 13
Ni heri kupoteza kuliko kunyanyaswa na weupe ndani ya nchi yetu wenyewe. Huwezi kwenda nchi zao ukawafanyia ujinga huu watakupoteza mapema sanaa...ukipoteza hiyo uliyonayo kupata nyingine utajuta kuzaliwa
Mbona Naibu Waziri ameshapita, au unaongelea Halotel ipi?
Ni hatar sana hawa jamaaHalotel ni Genge la Wahuni kutoka Vietnam Yani kuanzia construction za Base station ni shidaaa sina hamu na ivo vijamaa vilivyodumbukia macho
Huenda hii kampuni ni Ya wabongo wa Vietnam wamepewa tu kuwa wasimamizi lakini kila kitu ni cha watu wa humu humu TZHalotel ni Genge la Wahuni kutoka Vietnam Yani kuanzia construction za Base station ni shidaaa sina hamu na ivo vijamaa vilivyodumbukia macho
haya kwa home basiNi heri kupoteza kuliko kunyanyaswa na weupe ndani ya nchi yetu wenyewe. Huwezi kwenda nchi zao ukawafanyia ujinga huu watakupoteza mapema sanaa...
Sisi wa tz ni wababaishaji but sio kwa kiwango kikubwa kama cha hao VietelHuenda hii kampuni ni Ya wabongo wa Vietnam wamepewa tu kuwa wasimamizi lakini kila kitu ni cha watu wa humu humu TZ
Tafadhali muheshimiwa waziri naomba uanze na kampuni ya halotel wafanyakazi wazawa tunanyanyasika sana.
1. Hatuna mikataba inayoeleweka
2. Mishahara kiduchu wakati kazi kubwa
3. Hatupewi overtime wakati tunafanya kazi hadi usiku wa manane
4. Hatupewi hata bima ya afya
5. Tunatumia fedha zetu wenyewe kufanya kazi za kampuni na haturudishiwi.
6. Tunacheleweshewa mishahara yetu wkt mwingine hadi tarehe 15 mwezi unaofuata.
Mtu akiuliza kitu kuhusu mshahara, marupurupu au overtime anafukuzwa kazi kama mbwa.
Hayo ni machache tu tafadhali fika ujionee mwenyewe mheshiwa.
Wafanyakazi wazawa halotel tunanyanyaswa wakati wageni wanaishi kama wafalme. Uhuru uko wapi?