Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,014
- 9,883
Yeah wale ambao mashine zao haziwezi kuwa upgraded inabidi wanunua mpya. Ila kama uko VAT registered hela yote unai claim kwenye VATUlaji mwingine kwa maafisa wa Tra, na kuliko tena kwa wafanyabiashara .Kuna mashine ziligoma kabisa kuwa updated na hii itamlazimu mfanya biashara kununua mashine nyingine kea gharama zake.
Sawa lakini kwa nini Efd supplier asiwajibike kwa kuuza products ambazo hazikubali updates ?Yeah wale ambao mashine zao haziwezi kuwa upgraded inabidi wanunua mpya. Ila kama uko VAT registered hela yote unai claim kwenye VAT
I have no ideaSawa lakini kwa nini Efd supplier asiwajibike kwa kuuza products ambazo hazikubali updates ?
Lakini pia wameshindwa namna ya ku update hii kitu online bila kwenda kwa supplier ? Mbona smartphones , DStv decoder huwa Zina ji update zenyewe ?
Mimi nilisikia dukani kwa mhindi flani , kuwa bila ku update Efd Kuna fine , kiufupi inatakiwa ile barcode pale chini ya receipt,Ujue viongozi wa nchi Kuna wakati Kama wanakurupuka.
Hilo zoezi la kuapdate efd wametangaza lini?...
Mimi nilisikia dukani kwa mhindi flani , kuwa bila ku update Efd Kuna fine , kiufupi inatakiwa ile barcode pale chini ya receipt ,
Nimeshangaa hii ya kusema mwisho ilikuwa tarehe 7 January , hata taarifa ya zoezi lenyewe sikuipata , Siku mbili December nimeshinda ofisi za tra hakuna hata kipeperushi Cha zoezi hilo.
Pole mkuu. Hii taarifa ilitoka hata humu JF Miss Natafuta aliweka thread yake.Mimi nilisikia dukani kwa mhindi flani , kuwa bila ku update Efd Kuna fine , kiufupi inatakiwa ile barcode pale chini ya receipt ,
Nimeshangaa hii ya kusema mwisho ilikuwa tarehe 7 January , hata taarifa ya zoezi lenyewe sikuipata , Siku mbili December nimeshinda ofisi za tra hakuna hata kipeperushi Cha zoezi hilo.
Yangu pia naona tayari ina barcode chini ya risiti.Thank God my EFD just needed an upgrade!
Daaah! Huo ni wizi kabisa. Mashine nimenunu mwezi April lakini natakiwa ku-update! Maana na mimi mashine yangu haina barcode mwisho wa risiti. Ingawa sijasajiliwa kwa VAT. Hapa inakuwaje wakuu?Mimi nilisikia dukani kwa mhindi flani , kuwa bila ku update Efd Kuna fine , kiufupi inatakiwa ile barcode pale chini ya receipt ,
Nimeshangaa hii ya kusema mwisho ilikuwa tarehe 7 January , hata taarifa ya zoezi lenyewe sikuipata , Siku mbili December nimeshinda ofisi za tra hakuna hata kipeperushi Cha zoezi hilo.
Hata wangeweza mabango kwenye ofisi zao ambazo karibu wengi wetu tunakwenda kwa makadirio na huduma nyingine ingesaidia !Tra ilitoa tangazo la kuhuisha taarifa za mashine za EFD lakini kwa mtazamo wangu taarifa hii haikuwafikia wafanyabiashara wote na hasa wa Vijijini. Ni vyema ilitakiwa watumishi wa Ofisi za Tra kule wilayani kuzunguka kwa wafanyabiashara na kuwatangazia juu ya umuhimu wa taarifa hii. Pili, binafsi gharama ya kuhuisha taarifa hizi ni ghali sana. Inakuwaje kuhuisha taarifa mfanyabiashara anatozwa Tshs.80,000 na ikumbukwe wengine tulinunua mashine hizi kwa gharama ya Tshs.800,000. Tatu, nasikia Kampuni zinazomiliki taratibu zote za EFD siyo za Kitanzania na hivyo kufanya lolote wanalotaka.
Ninashauri Tra kuwa utaratibu wa kuhuisha taarifa za EFD zingekuwa bure bila gharama yeyote kwa wafanyabiashara. Wanyabiashara ni watu muhimu sana katika kukuza uchumi wa nchi yetu na wasionekane kama maadui.
Sisi tumenunua mpya, lakini tumeambiwa hela unayoclaim ni kwa machine tuliyonunua mara ya kwanza tuYeah wale ambao mashine zao haziwezi kuwa upgraded inabidi wanunua mpya. Ila kama uko VAT registered hela yote unai claim kwenye VAT