Wafanyabiashara waomba kununua korosho

Wafanyabiashara waomba kununua korosho

Si tunasikia ni Rostam ndiye anayenunua korosho kwa mgongo wa serikali.! Serikali itakuwa imetoa pesa wapi bila kuidhinishwa na bunge. Serikali hii inapenda sana usanii.
Umesikia wapi mkuu?
 
Rais wetu is too MYOPIC. Uwezo wake wa kufikiri is not even beyond his nose.
Yeye alifikiri akiliambia Jeshi linunue Korosho basi atakuwa AMEWAKOMOA WAFANYIBIASHARA...!!! Hivi huyu Rais na hao Washauri wake hawakujau kuwa kuna AJIRA ZA WATU WENGINE ZINAZOENDANA NA HII BIASHARA? Kuna wabebaji/wapakiaji wa Korosho, kuna Wasafirishaji wa Korosho, kuna Wabanguaji wa Korosho, kuna Wahifadhi wa Korosho(Wenye maghala) n.k....!Too shallow minded!!
Wewe ndiyo MYOPIC lofa mkubwa ,nyumbu wewe.

Kwani rais aliwazuia kununua hizo korosho?

Wamezuiwa na rais au wamekataa wenyewe kununua hizo korosho?
 
Mkulu amewachezea akili yao. Maana yake kwa sasa wakitaka lazima wanunue kwa 3,300 tena kwa kubembeleza na kwa kufuata masharti yooote. The ball is in their court now... Politics is a game...
Hsaaaah bro upo vzr sana
 
Rais wetu is too MYOPIC. Uwezo wake wa kufikiri is not even beyond his nose.
Yeye alifikiri akiliambia Jeshi linunue Korosho basi atakuwa AMEWAKOMOA WAFANYIBIASHARA...!!! Hivi huyu Rais na hao Washauri wake hawakujau kuwa kuna AJIRA ZA WATU WENGINE ZINAZOENDANA NA HII BIASHARA? Kuna wabebaji/wapakiaji wa Korosho, kuna Wasafirishaji wa Korosho, kuna Wabanguaji wa Korosho, kuna Wahifadhi wa Korosho(Wenye maghala) n.k....!Too shallow minded!!
Akili yako haina tofauti na vile vinavyotupwa chooni jumla jumla
 
Waligoma kutikisa kiberiti mzee, ndo hao hao walipeleka majina kwa Waziri Mkuu kuomba kununua kwa 3000.
Wahindi wanahitaji sana Korosho kwa ajili ya viwanda vyao, ndio maana wanaopeleka Korosho kule hulipwa 35% commission na wamejaribu kutawala soko la korosho.
Korosho zisipopelekwa kwao maana yake viwanda vitakosa malighafi na kufungwa hivyo kukosesha ajira wananchi wao.
Wana stock mpaka mwisho wa mwaka, ifikapo January watakuwa tayari kununua hata kwa TS 5000/=, kwa sababu ya Tanzania korosho za Indonesia zimepanda bei kutika $1700/= kwa tani hadi 1900, ndani ya siku mbili.
 
IMG_0148.JPG

Rais Magufuli akiwa kwenye Kikao na Wafanyabiashara, ambapo walikubaliana bei elekezi kuwa Tsh. 3,000. Hata hivyo, hawakujitokeza kwenye minada ya korosho.

Wamiliki wa Viwanda vya kubangua korosho mkoani Mtwara, kikiwemo Kiwanda cha Hawte Investment Ltd, wameiangukia Serikali wakiomba kuruhusiwa kununua korosho ili kuendeleza uzalishaji, ikiwa ni pamoja na kulinda ajira za watumishi wao.

Meneja wa Kiwanda cha Hawte, Sadat Abdul alidai kuwa, kiwanda chao kimeajiri watumishi 600 na muda si mrefu watakifunga kwa kuwa korosho zimekwisha. "Sio kwamba tuligoma kununua korosho ila bado tulikuwa tunajipanga ikiwa ni pamoja na kushughulikia mikopo yetu."
"Hata hizi korosho tunazomalizia tulizinunua Disemba mwaka jana wakati msimu unaanza Oktoba. Tunaiomba Serikali ituuzie tu kwa sababu hata leseni tulishakata."
Hata hivyo, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa alihoji ni kwa nini Wafanyabiashara hao wanaomba kuuziwa korosho hivi sasa, ilhali awali walisuasua?

IMG_0147.JPG
 
Hii sinema inaendelea ngoja tuone mwisho wake ila ninafikiri kuna kitu hakiko sawa katika ishu hii ya korosho. Ngoja niwe mpole kwa sasa!
 
Tunaua viwanda vyetu vya ndani wenyewe!!!!
Halafu kuna watu wanabenua meno,"nchi ya viwanda"!
Viwanda my foot
 
Wamiliki Inabid Waulizwe Wanataka Kununua Bei Gan Kwa Kilo Halafu Tuone Serikali Na Wao Anapaswa Kununua Korosho
 
Nadhani kwa maoni yangu serikali ilitakiwa ije na mkakati wa ku-subsdise bei, mwisho wa siku mkulima apate, wanunuzi wapate, ajira ziwepo (viwandani, wasafirishaji, wauza mafuta, makuli), ikusanye kodi kitaifa na ushuru wa halmashauri husika, na ipate forex!!
 
Hii sinema inaendelea ngoja tuone mwisho wake ila ninafikiri kuna kitu hakiko sawa katika ishu hii ya korosho. Ngoja niwe mpole kwa sasa!
Unayo yaombea yatokee kwa kizazi chako milele walahi
 
Lazima mkate wa taifa ugawanywe kwa watu wote..Ni zamu ya wakulima kunufaika wameumizwa kwa kihindi kirefu sana

True walahi
Acha wakulima wafurahi ili tupate baraka walahi
 
Hii sinema inaendelea ngoja tuone mwisho wake ila ninafikiri kuna kitu hakiko sawa katika ishu hii ya korosho. Ngoja niwe mpole kwa sasa!
Kila kitu kipo sawa.magufuli amepiga hesabu ameona asiangalie maslahi ya watu wasiofika hata 10000 Ni heri aangalie maslahi ya wakulima wanaozidi 1000000
 
Nadhani kwa maoni yangu serikali ilitakiwa ije na mkakati wa ku-subsdise bei, mwisho wa siku mkulima apate, wanunuzi wapate, ajira ziwepo (viwandani, wasafirishaji, wauza mafuta, makuli), ikusanye kodi kitaifa na ushuru wa halmashauri husika, na ipate forex!!
Hao makuli mnawalipa sh ngapi kama sio kuwanyonya tu?
 
View attachment 935927
Rais Magufuli akiwa kwenye Kikao na Wafanyabiashara, ambapo walikubaliana bei elekezi kuwa Tsh. 3,000. Hata hivyo, hawakujitokeza kwenye minada ya korosho.

Wamiliki wa Viwanda vya kubangua korosho mkoani Mtwara, kikiwemo Kiwanda cha Hawte Investment Ltd, wameiangukia Serikali wakiomba kuruhusiwa kununua korosho ili kuendeleza uzalishaji, ikiwa ni pamoja na kulinda ajira za watumishi wao.

Meneja wa Kiwanda cha Hawte, Sadat Abdul alidai kuwa, kiwanda chao kimeajiri watumishi 600 na muda si mrefu watakifunga kwa kuwa korosho zimekwisha. "Sio kwamba tuligoma kununua korosho ila bado tulikuwa tunajipanga ikiwa ni pamoja na kushughulikia mikopo yetu."
"Hata hizi korosho tunazomalizia tulizinunua Disemba mwaka jana wakati msimu unaanza Oktoba. Tunaiomba Serikali ituuzie tu kwa sababu hata leseni tulishakata."
Hata hivyo, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa alihoji ni kwa nini Wafanyabiashara hao wanaomba kuuziwa korosho hivi sasa, ilhali awali walisuasua?

View attachment 935923
Magufuli atapiga sana hela kwenye hili la korosho.
 
Back
Top Bottom