Serekali hii imehamua kuwatesa na kuwanyanyasa wafanyabiashara ndogo ndogo, kila kukicha ni kukamatwa na faini zisizo na maana.mtu anakabiashara kake hapo hapo atoe kodi,atoe pesa za ulinzi shirikishi,atoe pesa za taka,manispaa wanapita kila baada ya dk tano watu wanalizwa elfu hamsini kila kukicha,mara huna dustbin ukijibana kuweka dustbin unaambiwa halitakiwi hili nunua la aina flani,ukinunua unaambiwa chimba shimo yani nivuruguu mitaani,mara cheti cha afya, yani hata hawaeleweki
Wananchi wanateseka sana dar es salaam