lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Wafanyabiashara wa Mwenge wanazama shimoni taratibu taratibu, ni nani atawaokoa? maumivu wanayoyapata wafanyabiashara wa mwenge ni makali sana,ni nani atawaponyanya maumivu yao?
Ni karibu mwezi mzima sasa toka kuwepo na amri ya kukataza magari yasipark maeneo ya Mwenge, baada ya katazo hilo biashara zimeshuka kiwango cha kufikia hatua ya wananchi kufilisika kabisa, kuna baadhi ya wafanyabiashara wana mikopo ya bank,na wanatakiwa walipe mikopo katika mabank,kodi za pango,ada za watoto mashuleni,na kadhalika,swali lilobaki,kwa wananchi wa mwenge,ni je ni nani atawasaidia kwenye tatizo hili?