Wafanyabiashara Mwenge wataka kupewa eneo la kufanyia biashara

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,496
54,913
Makumbusho.jpg

Kituo kipya cha Makumbusho

WAFANYABIASHARA zaidi ya 600 waliokuwa kufanya shughuli zao kwenye Kituo cha daladala Mwenge kabla ya kuhamishiwa katika kituo Makumbusho, wamekusanyika katika Ofisi za kituo kipya cha Makumbusho na kuidai serikali kuwapatia eneo la kufanyia biashara zao.Wakizungumza sokoni hapo na FikraPevu leo asubuhi (Juni 4, 2014) wamesema tangu kuhamishwa kwenye kituo hicho,....

Habari zaidi;Wafanyabiashara Mwenge wataka kupewa eneo la kufanyia biashara
 
Back
Top Bottom