Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,435
Huo mwenge na kuchangia pesa za mafuta ya mwenge ilianzia wakati wa Nyerere.
Ni wakati muafaka tukaachana na hayo makosa ya Nyerere, yeye mwenyewe alishasema yeye si malaika na kuna makosa katika aliyoyafanya, basi tuyaache.
Nyerere mwenyewe baada ya kung'ang'ania sana, akaamuwa kung'atuka na kuwacha wengine walete mapya, sisi tunang'ang'ania tu.
Kwani kuna ubaya gani tukitengeneza Mwenge unaotumia nishati ya Jua?