wafanya kazi wawili wanahitajika

Positive

Member
Nov 17, 2011
95
15
Wana JF,

Kuna jamaa yangu ameniomba nimtafutie wafanyakazi wa ndani wawili.

Wa kwanza aweze kuongea kiingereza, atakua na kazi ya kumlea mtoto tu. Ataishi humo humo. Awe mdada, kama ana mtoto ni a plus. Mshahara ni kuanzia Laki moja ya Tanzania net.

Wa pili awe mdada au mkaka ajue kupika atafanya kazi za ndani kama house boy au house girl. Ataishi humo humo pia. Mshahara ni kuanzia elfu hamsini.

No middle men. Muombaji aombe mwenyewe. Atume ujumbe wa kusema anatafuta kazi kwenye namba 0659 305556 na atapigiwa.

Asanteni.
 
kaka .... hawa walengwa nao wanaingia JF kweli ....?

unless otherwise i wish you all the best
 
kaka .... hawa walengwa nao wanaingia JF kweli ....?

unless otherwise i wish you all the best
Mkuu nakuunga mkono! LAT huwezi kuwakwepa middle kwa nature ya watu unaowatafuta na channel ya communication uliyoitumia.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Mimi nipo experienced house boy bot nahtaj 100,000 per month umri wangu 22!
 
Kaka Laki moja kwa mwezi na kulala kula kutibiwa kwangu?

Kumbuka hayo ya kulala kula na kutibiwa ni juu yangu. Wewe ndo ulituma msg jana?

Anyway endelea ku negotiate kwenye ile simu
 
Jana cjakutumia sms ila,na uwe mkweli kuhusu suala la kula matibabu na malaz maana waajir wengi hawaviwez kuvitimiza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom