Wafahamu watu wanaoitwa Sociopath

nitag in next session ndg
 
Weweeee, wanaopretend huruma nyingi Mara nyingi huwa ni wachawi ili kuwazuga watu.. Lakini mioyo yao ni ya kikatili balaaa. Wachawi ndivyo walivyo.
 
Kama Mimi sinaga feeling kabisa za mapenzi na wala nikifanya jambo baya sijwahi kujutia wala kujiuliza why nmefanya hivi so am scopiath?
 
Mkuu umeongea kweli tupu! kuna rafiki yangu. yeye kutenda ubaya kwake sio shida! alishawahi kusababisha mpenzi kufa! halafu hakufika msibani!

dah! kama mimi vile lakini huwa sijali hisia za mtu, sijui ubembeleza
 
Ukiwa na elimu kubwa kuhusu dunia na nguvu zilizo ndani ya binadamu utakuja kujua kwamba KUNA WATU WAMEUMBWA WAWE NEGATIVe ENERGY,,,watu wasiojali lolote bila kuhis chochote

KUSOMA SANA PHILOSOPHY NA KUTANGULIZA CAREERS KATIKA MAISHA KUNA CHANGIA. KUNA WATU WA AINA MBILI KATIKA MAISHA. AINA YA KWANZA WAPO HIVI: WANA FOCUS KATIKA FAMILIA, CAREERS NA AFYA. YAANI WAO KWAO KUWA NA FAMILIA NI KIPAUMBELE HAIJALISHI ANA HALI GANI KIMAISHA.

AINA YA PILI: WANA FOCUS KATIKA CAREERS KAMA PRIORITY YA KWANZA YA MAISHA YAKE, FAMILIA NA AFYA VITAFUATA! HAWA SIKU ZOTE NI WATU WA AJABU KATIKA JAMII. UNAWEZA KUTA ANA UWEZO WA KILA KITU LAKINI HAJALI KUHUSU FAMILIA AU KUWA NA FAMILIA. ALWAYS ANA FOCUS KATIKA PERSONAL ACHIEVEMENTS.

MARA NYINGI WANACHELEWA SANA KUWA NA FAMILIA, WASOMI WAZURI TU, NI INTROVERT. HAWAPENDI KUYUMBISHWA NA WATU. MARA NYINGI WANACHOKITAKA NDIYO KINAKUWA SIO UNACHOTAKA WEWE! NI VIGUMU KUWADANGANYA KWA SABABU WAO NI WAONGO SANA, WANAJENGA UONGO KWA LUGHA YA PICHA.
 
Mkuu ungesoma na watu wanaoitwa ma psychopaths before haujaandika hii kitu, maana hapa umewaelezea psychopaths na sio sociopaths. There is a huge difference between them
 
Sociopathic behaviours hailetwi na ugonjwa wa akili, its mainly contributed na mambo mtu aliyopitia katika early or tender age, mfano mtoto akipitia psychological torture, kunyanyaswa, kupigwa au hata kubakwa, mara nyingi hawa watu wanakuja kua na anti social behaviours wakiwa wakubwa. Tofauti yao na ma introverts ni kwamba, ma sociopaths ni ma opportunist na waigizaji wazuri, wanaweza kukuigizia kama wana kupenda kumbe kuna kitu wanatafuta kwako, they are also good liars na mara nyingi ni watu wenye akili in the sense that wanaweza wakajiliiiza wee mpaka ukaingia mkenge ukawapa wanachotaka. Na ni vigumu kuwajua kwasababu niwa igizaji wazuri saaaana. They are pathological liars, pathological breakers and makers of promises. Mfano mzuri wa sociopaths ni SHERLOCK HOLMES na mfano mzuri wa psychopaths ni NICKLAUS wa the originals, Dexter and serial killers
Najiuliza,kama social path ni ugonjwa wa akili,kwa nini Mgonjwa huyu akikamatwa nchi nyingi adhabu yake ni kifo?kama ni kusafisha mbegu mbaya Kwenye jamii,kwa nini hawafungwi maisha badala ya kuuawa.Au ni ile hulka ya binadamu kutaka malipizi?
 
Wengi wa hawa watu wana Antisocial Personality Disorder, kuwatambua watu hawa ni rahisi;

Kwanza hujithamini yeye tu na si binadamu mwingine, yupo tayari kuuwa na hana majuto ndani yake.

Anaweza kukuchekea kwa lengo la kukuvuta karibu, ukidhani kuwa ni mwema kwako na baadaye anakufanyia tukio ambalo hukutegemea.

Kusema uongo ili mtu aangamie, au kutoa ushahidi wa uongo ili upate tabu au uingie matatizoni kwake yeye ni kawaida, Tena akiwa na macho makavu usijue kuwa anachosema ni uongo.


Wapo wengi sana kwenye jamii yetu, kuwa makini nao

Nawasilisha
 
Duh!
Kuna mdada nimewahi fanya nae kazi yuko exactly hivyo ulivoeleza...
 

Tuseme unakuta mahali fulani kuna kitu kama crime ring ya watu na baadhi yao kama si wote, wana manifest tabia za namna hii kama mlivyozijadili hapa, na ni katika kundi la watu ambao hawafiki 50 au 40. Katika scenerio ya namna hii, hii hali unaweza kuiitaje? Yaani wanakuwa wako tayari kwa chochote kile, assuming kuna loop hole ambayo inaweza ikawafanya wakawa kwenye safe side, yaani kwamba ikitokea nafasi wanayoitamani, wanaweza waka-commit hiyo crime halafu wakaikwepa kwa kuzuga na sababu ambazo wanaamini kuwa zinaweza zikakubalika kwenye jamii husika kwamba wao si wale walio-commit crime hiyo, wakati siyo kweli! Hii hali tunaiitaje, inapotokea ni kundi la watu wako namna hii?
 
Mawakili woote ni socialpath sasa, wana uhakika umeua lakini bado wanakutetea
 
Wengi hufanya mapenzi ya jinsia moja!
WAO WAKIWA WATENDAJI!!!
 
Madini muhimu sana,Mkuu Uzi part 2 bado tu?
 
Mimi kuna mfanyakazi mwenzangu nahisi atakuwa kwenye hili kundi maana kuna baadhi ya matukio ni ya kuogofya maana mwanadamu wa kawaida hawezi kuyafanya

Baadhi ya matukio mfano unapofika mwisho wa mwezi kwa wanaofanya idara ya afya mtanielewa kuna viela fulani hivi inategemea na sheria kwenye taasisi huwa mnapewa kama motisha Tu moja ni fedha za kazi ya ziada(extra duty) fedha ya nauli au ya chai asubuhi kinachonifanya nielezee hili ni anapokuwa mkali na jasiri kugomea kuitoa hiyo fedha anaweza kukupa sababu kuwa ulishaichukua angali haujafanya hivyo

Lingine ni ujasiri alionao kuwa dai wateja (wagonjwa fedha) yaani ni zaidi ya hatari....

Mfano leo client alizidiwa nikaamrisha afanyiwe vipimo zaidi ya vi5 kutokana na condition aliyonayo baada ya kundua vipimo vyote hakuna nikaamua apelekwe Hospital ya mkoa chaajabu alipata ujasiri wa kumdai mtu mahututi ikabidi nimzuie...

Ombi langu kwa vijana especially mnaotaka kuoa tizameni haya mambo kiundani sana nina yasema haya kwasababu kuna kausemi kana sema ukitaka kumchumbia msichana mchumbie mama yake ili ujue tabia za mwanaye, kuna kabinti kake kalinivutia ila kutokana na tabia aliyonayo mama yake ya kutokuwa na roho ya kawaida ya kibinadamu ikanivutia kumchunguza mtoto 100% mtoto pia anayo nikampiga chini


Dah asante mleta uzi umenifunza kitu nimeamua kushare scenerio niliowahi kukutana nayo kidogo....

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In short tuseme hawa sociopath huwa wanaishi maisha ya kuigiza roho nzuri ila wana roho mbaya kupita kiasi, na kwa bahati mbaya sana huwa hawawezi kujulikana na watu walio wengi! Frankly speaking from my heart, I know at least two, assuming mimi siyo mmoja wao. I am wrong only if unknowingly, I'm also a sociopath!
 
Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka na Yakobo azidi kukutunza. Ulichonacho rohoni nimekipata kwa uzito uleule ulioukusudia wasomaje wako wakipte. Yaani unazo kabisa sifa zote za mtu aliyekasimishwa mamlaka na Mungu, ya kutunza watu wake hapa duniani kuhakikisha wanaendelea kuwa hai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…