Wafahamu Wanefili (majitu makubwa) walioitesa dunia hadi Mungu akaamua kuwaangamiza

Hivi siku ya kujifungua huyo mama ambaye ni binadamu anakuwaje?Na je malika wana jinsia gani?Maana hao malaika walioasi waliwaingilia binadamu ambao maumbo yao ni madogo.Nyume zao zilipenyaje katika sehemu za wanawake binadamu?Mtoto aliyezaliwa alikuwa na ukubwa gani na alizaliwa kawaida au kwa upasuaji?
Umeshaambiwa hawa viumbe ni supernatural, hawakuwa watu wa kawaida, ukijiongeza kidogo tu utagundua walikuwa na uwezo wa ziada usiokuwa wa kibinadamu katika hali ya kawaida.
 
Acha kupotosha watu. malaika wala mapepo hayana uwezo wala maumbile ya kuzaa binadamu na wanyama wengine wa duniani. Malaika siyo viumbe vya duniani ndiyo maana hayakuumbwa kwa maumbile ya kuzaa. hiyo wewe unapata katika Biblia gani kwamba ni uzao kati ya binadamau na malaika au mapepo.
Mwanzo 6 4
 
Umeshaambiwa hawa viumbe ni supernatural, hawakuwa watu wa kawaida, ukijiongeza kidogo tu utagundua walikuwa na uwezo wa ziada usiokuwa wa kibinadamu katika hali ya kawaida.
Kuwaelewesha Watu Ni Kazi Kubwa Sana Mpaka Wakuelewe
 
Sipendi kubishana na maandushi au mtazamo wa mtu ila huwa naingiaga potini kusaka ukweli hakisi.

Ukweli ni kwamba ikiwa unaamini Biblia basi tutakuwa pamoja na kukubaliana kuwa jamii hii ya wanefili ipo na ilikuepo.

Kitabu cha mwanzo 6:1-4 inatoa mtiririko mzma wa vile jamii hii ilivyotokea navkuwepo hapa duniani, binti za wanadamu walipoingiliana kingono na wana wa Mungu na kuzaa nao watoto ambao walikuwa hodari na wenye sifa enzi hizo. Pia biblia inakiri wazi kuwa kizazi hiki kilikuwa ni watu wenye maumbo makubwa sana, hata ukutacwa yeriko wanefili ndio walioujenga kwa mujibu wa Biblia maana Yoshua alipo watuma wapelelezi kwenda kuipeleleza nchi ya kanaani kalebu akiwepo kwenye kundi hili walirudisha ripot kwa wana wa israeli kuwa huko wanaishi wana wa anaki ambao ndio jamii ya wanefili tena anasema sisi kwao wametuona kama mapanzi hii inaonyesha ni jinsi gani walivyokuwa na maumbo makubwa sana. Tena wanasema hatuwezi kwenda huko kwani watu waishio humo hula watu yaani wanakulana wenyewe kwa wenyewe. Na ikumbukwe hiki kizazi ni cha ibilisi yaani nyoka, nyoka humaanisha ibilisi/shetani Mungu alipomlaani nyoka alimwambia naweka uadui kati ya uzao wako na uzao wa mwanamke, swali la kujiuliza ikiwa nyoka alimuwakilisha shetani je uzao wa shetani ni upi? Yesu aliwaambia mafarisayo na masadukayo enyi kizazi cha nyoka mwawezaje kunena mema mkiwa wabaya? Hapo yesu alidhihirisha kuwa nyoka/shetani ana uzao wake hapa duniani. Biblia imezungumzia wanefili kwa upana sana sema tu ss ni wavivu wa kusoma. Biblia imekiri wazi kuwa hawa ndio watu waliokuwa hodar na wenye sifa enzi hizo. Pia ikumbukwe baada ya muingiliano wa kingono kati ya binti za wanadamu na wana wa Mungu, Mungu alikasirika sana na kusema Roho yangu haitashindana mwanadamu milele... Kilichofanyika kilikuwa ni kitendo kiovu sana ambacho kilimfanya Mungu ashindwe kuvumilia uovu huo wa wanadamu na kukiangamiza kwa gharika enzi za Nuhu laki cha kustaajabisha kizazi hiki kinaonekana mbele tena baada ya gharika tena kikiishi kanaani na wakati wana wa israeli wanapelekwa kuirithi nchi wanakutana kizazi hiki huko. Tusomeni tusiishie kusomavwalichosoma wenzetu.
 
Kitabu cha mwanzo kinaeleza wazi Mungu ndie alimwambia nuhu atengeneze sana akampa na vipimo na jinsi yakuingiza wanyama mle ndani!!! Ukisoma kirabu cha daniel kinaonyesha wazi Mungu alivifunga vinywa vya simba wasiwadhuru akina daniel!!! Mungu ndie muumbaji hashindwi na lolote
Walikula nini
 
Sipendi kubishana na maandushi au mtazamo wa mtu ila huwa naingiaga potini kusaka ukweli hakisi.

Ukweli ni kwamba ikiwa unaamini Biblia basi tutakuwa pamoja na kukubaliana kuwa jamii hii ya wanefili ipo na ilikuepo.

Kitabu cha mwanzo 6:1-4 inatoa mtiririko mzma wa vile jamii hii ilivyotokea navkuwepo hapa duniani, binti za wanadamu walipoingiliana kingono na wana wa Mungu na kuzaa nao watoto ambao walikuwa hodari na wenye sifa enzi hizo. Pia biblia inakiri wazi kuwa kizazi hiki kilikuwa ni watu wenye maumbo makubwa sana, hata ukutacwa yeriko wanefili ndio walioujenga kwa mujibu wa Biblia maana Yoshua alipo watuma wapelelezi kwenda kuipeleleza nchi ya kanaani kalebu akiwepo kwenye kundi hili walirudisha ripot kwa wana wa israeli kuwa huko wanaishi wana wa anaki ambao ndio jamii ya wanefili tena anasema sisi kwao wametuona kama mapanzi hii inaonyesha ni jinsi gani walivyokuwa na maumbo makubwa sana. Tena wanasema hatuwezi kwenda huko kwani watu waishio humo hula watu yaani wanakulana wenyewe kwa wenyewe. Na ikumbukwe hiki kizazi ni cha ibilisi yaani nyoka, nyoka humaanisha ibilisi/shetani Mungu alipomlaani nyoka alimwambia naweka uadui kati ya uzao wako na uzao wa mwanamke, swali la kujiuliza ikiwa nyoka alimuwakilisha shetani je uzao wa shetani ni upi? Yesu aliwaambia mafarisayo na masadukayo enyi kizazi cha nyoka mwawezaje kunena mema mkiwa wabaya? Hapo yesu alidhihirisha kuwa nyoka/shetani ana uzao wake hapa duniani. Biblia imezungumzia wanefili kwa upana sana sema tu ss ni wavivu wa kusoma. Biblia imekiri wazi kuwa hawa ndio watu waliokuwa hodar na wenye sifa enzi hizo. Pia ikumbukwe baada ya muingiliano wa kingono kati ya binti za wanadamu na wana wa Mungu, Mungu alikasirika sana na kusema Roho yangu haitashindana mwanadamu milele... Kilichofanyika kilikuwa ni kitendo kiovu sana ambacho kilimfanya Mungu ashindwe kuvumilia uovu huo wa wanadamu na kukiangamiza kwa gharika enzi za Nuhu laki cha kustaajabisha kizazi hiki kinaonekana mbele tena baada ya gharika tena kikiishi kanaani na wakati wana wa israeli wanapelekwa kuirithi nchi wanakutana kizazi hiki huko. Tusomeni tusiishie kusomavwalichosoma wenzetu.

Nimesoma haya maelezo nikabaki nacheka tu

Kwanza unasena 'wanefili' walikua ni matokeo/uzao ya kuingiliana kingono kati ya mabinti wa binadamu na wana wa mungu. Hao wana wa mungu ndio kina nani?

Halafu unasema mungu akakasirika akakiangamiza kizazi chote Duniani isipokua Nuhu na wanae, halafu cha ajabu zaidi na wewe mwenyewe unashangaa ni kuwa Waisrael wanavyotoka Misri wakawakuta hao wanefili wakiishi Kanaani, ina maana mungu alishindwa kuangamiza watu wote isipokua uzao wa Nuhu kama alivyoahidi baada ya kupandwa na hasira? Au Nuhu naye alikua na matoto manefili?

Mwishoni unamalizia kuwa eti hao Wanefili ni uzao wa nyoka/shetani. Mwanzoni ulisema hawa jamaa ni uzao wa mabinti za binadamu na wana wa mungu, sasa hii ya uzao wa nyoka/shetani umetoa wapi tena?

Halafu swali la kizushi tu, kama hao wanefili walikua wakubwa kiasi kwamba binadamu wa kawaida alionekana kama panzi mbele yao, iliwezekanaje wakazaliwa na binadamu wa kawaida?
Tufanye mfanano mdogo tu wa Sungura (binadamu) na Tembo (Wanefili) na tujiulize hivi sungura anaweza kuzaa mtoto wa Tembo? Tembo anaweza kumuingilia sungura kimwili?
 
Hpana wewe ujaelewa
 
Kwa mawazo yako wanifeli walitokomezwa na gharika kwa sababu ya matendo yao. Wale wanyama wakubwa (denosours) walimtendea dhambi gani nao wakateketea? Jiongeze kufikiri, ukiishia kwenye mapitio, akili itadumaa
 
Mambo ya kusadikika, yaani ni agenda za kigagagigikoko!! What happened to common sense? Waampoto, mpotompoto!!
 
Biblia imeongelea Wanefili sehemu ndogo sana, ndio maana habari zao zimekuwa zikileta utata.
.
Kitabu kilichowaongelea manafeli kwa kina na asili yao ni kitabu cha Henoko na kiliondolewa na kufichwa kisiwe sehemu ya biblia na manafeli hao hao.
.
Yuda 1
14 Na Henoko, mtu wa saba baada ya Adamu, alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, Angalia, Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu maelfu,

15 ili afanye hukumu juu ya watu wote, na kuwaadhibisha wote wasiomcha Mungu, kwa ajili ya kazi zao zote za upotevu walizozitenda bila kumcha Mungu, na kwa ajili ya maneno magumu yote ambayo hao wenye dhambi wasiomcha Mungu wameyanena juu yake.
.
Ila ukikitafuta hichi kitabu chenye huo unabii kuwahusu ndani ya biblia hukipati.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom