Wafahamu wachawi na uchawi hapa


Mkuu mimi nimeokoka kitambo tu na nina roho mtakatifu,lakini pia nataka kushare na wewe hii kitu kwamba mtu akiokoka maana yake amekuwa kiumbe kipya na kabla hajaokoka alikuwa mtenda dhambi ndo maana wapo wengi leo hii unawaona walikuwa wachawi,waganga,wazinzi,walevi,n.k lakini waliamua kumpa yesu maisha yao kwhyo hao pia wanakuwa na ushuhuda mwngi wa maisha yao ya nyuma kwhyo hata hicho nlichokiandika najua namaanisha nn so ukiamua kukiamini au usipoamini hiyo ni juu yako maana hakuna sehemu niliyosema nataka watu wawe walokole au nimejaribu kucompare na kitabu chochote cha dini lakini pia nashkuru kwa kuniita mchawi maana biblia imesema atambariki atakayekubariki na atamlaani atakayekulaani ,kwahyo mkuu nakuombea Mungu aimulike neema yake kwako ili injili ya wokovu ikuzukie maana shetani amewaseta wale wote ambao ni wafuasi wake (ambao hawajaokoka) katika gereza lake na amewapofusha fikra ili injili ya yesu kristo isiwazukie.
 
Good!Hii inajenga zaidi.Hakuna haja ya kuficha kwani ni ushuhuda mwanana na wakujenga.
 
Hivi haya mambo ya wachawi huwa mnayajuaje? Mtoa mada uliwahi kuwa kwenye tasnia hiyo? Au umewahi kumwona mchawi kwa macho yako na kuona mauzauza yakitokea?
 

Mie kwa upande wangu naona ungeachana naye tu huyu@senior boss maana hata maandiko yametuambia.
Tito 3: 9-11.
Ubarikiwe.
 
wewe unaejua funguka kwa unalojua kosoa lete habari sio kuishia njiani! au ndio tayari umechangia.
 
Hivi haya mambo ya wachawi huwa mnayajuaje? Mtoa mada uliwahi kuwa kwenye tasnia hiyo? Au umewahi kumwona mchawi kwa macho yako na kuona mauzauza yakitokea?
wakikamatwa na supa pawa wanatoa siri zote kinyumena viapo vyao. mana huwa wanaapishwa kutokutoa siri za kichawi. Ndio mana wengine humu wanaishia kupinga bila kufunguka wayajuayo. pia hata mchawi akikamatwaa mtaani katu anakataa.ndio mana hatamisukule yaohukimbiliakukata ulimi ili wasitoe siri endapo wataponyoka
 
wewe unaejua funguka kwa unalojua kosoa lete habari sio kuishia njiani! au ndio tayari umechangia.

unataka nifunguke nn? sikila kitu unataka ukijue hizo nitabia za makahaba wanaojifunza. nmwemambia mwandishi hayuko sahihi sabbu uchambuzi wake umeelemea ktk kuwapapromo walokole nasikuelezea uchawi sababu hata we pamoja na akili zako kuwa fupi unajua kma wachawi wapo kila sehemu duniani je hayo aliyoyasema yamegusa pnde zote au yy nia yake atuaminishe kuwa walokole ndio kiboko yahao wanga aliowatja. MM huwez nikataza nisiseme pnapokesewa etisababu maelezo hayo cjatoa MM hilo kwngu mwiko. Kama nithread za uchawi nadhani zpo nyngi tu wakuu wameshatambaa wakna mzz mkavu tena vzuri tu na mm pia nkpata wasaa. ntaleta uzi huo inshaallah nkimaliza mwezi mtukufu.
 
hapo umeongea kitu. ila kama anapromot ulokole sio vibaya na wewe ukapromot .somamo wako TUKAELEWA tukajua uzuri wake; enhee ....... tukashawishika tuufuate au laa. hapa ndio pa kufunguka angalao kidogo. mtazamo wangu kuishia kupinga hoja tu bila kuleta uzuri unaoujua;HUJATENDA HAKI sie tunaofuata uzi huu wengine wageni hatujapitia nyuzi zingine. kwa kuwa utakuja baadae MUNGU ATUPE UHAI HADI HAPO. .........
 
Nafikiri mtoa mada atakuwa alikosea jukwaa au yupo poor kwenye uandishi na hata ufafanuzi, yaelekea hakujua anaandika kwa sababu zipi?
Nijuavyo kuhusu topic zinazodondoshwa huku kwenye intelligent jukwaa, huwa zinakuwa ki intel zaidi yaani hata kama ni ukweli au uwongo unajufunza kitu na hata kama kuna biases still mada inaeleweka, na hata kama ni hutuba ya namna yeyote lakini ina mwelekeo na kueleweka.
Nilivyo kiona kichwa cha habar nilijua leo ntaelimika na kujua na either kuwa safe from hayo majanga kumbe....!
Asante
 
Kuna kitu nimejfunza kuhusu hii thread, but kwan wewe umejuaje haya yote mkuu? ulsimuliwa au ulshamkamata mchawi akakwambia, au ulipitiwa na ww ukajiunga nao alaf na wewe ukaasi baadae vp. Maana si kawaida kujua had ratba zao mkuu, funguka
 
Ukristo wenyewe ni uchawi pia.wakristo wapo wengi wachawi na waislam wapo wachawi poa.Nembo kuu ya muabudu shetani ni msalaba.Wakristo ni tabaka la kiimani lenye wivu na husda kuu na imani zinginezo.
 
Ndiyo umesema kweli, siyo kila jengo lililoandikwa Kanisa ni Kanisa la Kristo.
Achana na ubishani lete Elimu uliyonayo juu ya uchawi utuelimishe.
Mambo ya udini si vema yakawekwa hapa.
Mkuu tuhabarishe zaidi naona una maarifa mapya mengi juu ya nyanja ya Uchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna makanisa ni vilinge vya wachawi. Zambia kanisa Moja mkuu wa kanisa ndie alikuwa mkuu wa wachawi wa Kijiji. Mikutano walifanyia knsn usiku. Hata walisema wenyewe walipodakwa na waganga akiwemo huyo mkuu wa kanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…