we nae tulia eti kila dini ina majn.... mmmh mwongo ww
Ndugu yangu pole sana hivi unamjua roho mtakatifu?? kama humjui nenda kasome matendo ya mitume uone baada ya mitume kuwahubiria watu injili na walipookoka waliwajaza roho mtakatifu ili awe msaidizi kwa maisha ya mkristo, sasa hayo makanisa uliyiyataja hawajazwi huyo roho kwa sababu hawamtumii na hawajui jinsi ya kumtumia ndio maana ibada zao huwezi ukakuta wanawatoa watu mapepo na kuponya watu,lakini kumbe huyo roho mtakatifu ndio hutoa vipawa hivyo vya kuponya na kutoa pepo na vingne vngi kwa mtu alienae kwahiyo unapoona mtu anatoa pepo jua kwmba huyo anaroho mtakatifu ndio maana kama huna huyo roho wew huwezi kutoa pepo kwa maana roho mtakatifu ni roho wa Mungu kwahiyo ananguvu za Mungu,na ukishajazwa huyo roho mtakatifu basi ni lazima unene kwa lugha usioifahamu ndo mana makanisa ya kilokole hunena kwa lugha sawasawa na kanisa la kwanza kabisa la mitume,kwahiyo sio kila kanisa ukajua kwa sababu wanamhubiri yesu ukajua wanaouwezo wa kumshinda mchawi au pepo kwa maana pasipo roho huwezi pata nguvu xa kutoa pepo na wachawi maana utakemea tu pasipo maneno kuwa na nguvu itakuwa ni sawa na hata wew kukemea,kwahyo hayo makanisa ibada zake ni tofauti sana na ibada za walokole kwa maana walokole huitaji sana roho mtakatifu ashuke kwnye ibada zao ndio maana husifu na kuabudu na pia kuomba kwa pamoja.huyo roho mtakatifu huwa hakai kwa mtu mwnye dhambi maana yeye huwa ni mtakatifu na hawezi kuchangamana na giza kwa sababu yey ni nuru ndo mana huwezi kuta mtu ni mchawi afu eti awe anauwezo wa kunena.
Nafikiri mkuu utakuwa umeelewa tofauti ya hayo makanisa
jamani msizungumze mambo ambayo huna taaluma nayo kwakuhubiri ulkole umeweza ilauchawi ni zaid yahayo ulosema ndugu upo uchwi wa aina nyng sana na siwote wanakutana ijumaa kwmye vilnge na hakuna jini anaeitwa khairut na kama ulikua hujui wapo wachaw wanatumi hayo hayo makanisa kktania tena huku kwetu kwasiri lkn hukonjelive na humohutumia hyobible kfnikisha baadh ya shughli zao.mm nina elim yakutosha juu ya hayo mambo na nshafika nchinyngi za ulaya mashriki na afrikamaghrib na ucpnde kkrupuka humu jf hivyo vtu vnawajuz wake sio umekremsha story zakijjni kwnu unakuja kuletamada usioijua hapa
Mkuu nimekuelewa lakini nmejaribu kubase kwnye makanisa kwa maana ndio vita yao kubwa iliko sikutaka kubase kwa waislamu na wala sipo kwa ajiri ya promo isipokuwa nipo kwa ajiri ya kushare hii elimu, kwa mfano nkuulize labda ni wapi umeshawahi kuona mchawi kadondokea msikitini au kwnye mkutano wa kiislamu?? jibu ni hapana ndio maana kwa leo sikutaka kubase huko nauandaa uzi mpya wa majini huo ntaelezea kila kitu na nafikiri utajifunza kitu
Naamini kuna shetani ila mlicho andika humu na merengo90 ni Riwaya tu.
Mngenibadili mtazamo na msimano wangu kama mngeni onyesha how exactly u guys proved the existance of these things u say.
Take Note:
Mimi ni Mkristo hai (swala 5 daily). Nina amini kuna Mungu muweza ya yote. Naku challenge tu ulicho andika humu.
mkristo vs. swala 5, what is the relationship? tusidanganyane bwana, inaonyesha kabisaa kuwa hii ni sauti inayotokea gizani baada ya jiwe kurushiwa huko! swala 5 hazim-determine mkristo aliye hai kama unavyodai, labda kwa upande huo wa pili unaojaribu kuukana.. ni mtazamo tu!
jamani msizungumze mambo ambayo huna taaluma nayo kwakuhubiri ulkole umeweza ilauchawi ni zaid yahayo ulosema ndugu upo uchwi wa aina nyng sana na siwote wanakutana ijumaa kwmye vilnge na hakuna jini anaeitwa khairut na kama ulikua hujui wapo wachaw wanatumi hayo hayo makanisa kktania tena huku kwetu kwasiri lkn hukonjelive na humohutumia hyobible kfnikisha baadh ya shughli zao.mm nina elim yakutosha juu ya hayo mambo na nshafika nchinyngi za ulaya mashriki na afrikamaghrib na ucpnde kkrupuka humu jf hivyo vtu vnawajuz wake sio umekremsha story zakijjni kwnu unakuja kuletamada usioijua hapa
Una uelewa finyu, sikulaumu bali ni poor intellectual ability uko nayo....nilichotumia hapo ni slang tu nikimaanisha kwamba mimi ni Mkristo ninaetambua misingi yote ya maisha ya Kikristo.
Nilichokua nikifanya ni kum challenge huyo mwandishi wako ndio maana nikasema naamini uwepo wa shetani nikimaanisha kwamba Mungu yupo. Huwez kumuamini Mungu kama hukubali uwepo wa ibilisi. Utakua ni usanii tu.
Seems wewe ni wale watu wanaoropoka mambo bila kufikiri.
Asante, Inaonyesha wewe unaropoka baada ya kufikiria, nimekuuliza swali, kuna uhusiano gani kati ya mkristo hai na swala 5? baada ya kujibu swali unaanza kunieleza uhusiano kati ya uwepo wa mungu na shetani, who asked you about it? Hauko Sawa, Get yourself together!
Nonsense.
(Re-Read the first paragraph of my recent post alaf nenda ka argue na watoto wenzio)
Hahahah.. Ume-panic sio? mtoto ni wewe unaejibu usilo ulizwa just to justify your nonsense.. u claim to be an intellectual person but i don't see it in your lamentations, argue with facts nina uhakika hata wewe hujui ulichokiandika huko so si busara nikarudie kusoma huo upuuzi
Nonsense.
i don't see any sense in you either, you just can't accept the fact that you are a fool, a fool at his best, no wonder you are a boy not a man yet, men doesn't behave the way you do, if you cannot argue with facts then shut the f**k up, it doesn't worth arguing if you don't answer what you are asked.
Point of correction:
Men don't behave
??nashukuru ntakuuliza swali jepesi tu hivi kanisa lakwanza lilikuwa dhehebu gani?ni dhehebu gani lililoshirki ktk uandshi na ukusnyaji wamaandiko yabiblia?hayo makanisa yakiroho yameanzishwa na nani na lini?msitake kuwa mnakata tawi mlolikalia mkisema waroma hawanaimani mtuambie nyie dini mmepata kwanani mana haiwezekni mbongo akawa anaijua zaid bible zaid ya walioiandika nakama waowanaficha ukweli nyie baada yakuwaletea dini mmegundua mtuambie nikwafaida yanani?tulisha sema kama ilovykwa ulaya hakukaa nabii mdomna hatuamn walichokibuni basi naukiristo hasili yake cihapa vp tuamini mnachokibuni?
Hivi third eye ni ya kiroho ama kichawi?