sister you better stay tune on this uzi, vumilia wajuvi wa hiyo maneno wakujehivi ukimkuta nyoka mweusi kwenye kisima ....yale maji yake unaweza kuendelea kutumia? binafsi jana nimemkuta nyoka mweusi mkubwa kiasi kwenye kisima cha nyumbani.....naomba mnisaidie niendelee kutumia yale maji au yatakuwa yana madhara tuache kutumia.....?
cc ushiboy Mnyalu Junior Gwangambo
hivi ukimkuta nyoka mweusi kwenye kisima ....yale maji yake unaweza kuendelea kutumia? binafsi jana nimemkuta nyoka mweusi mkubwa kiasi kwenye kisima cha nyumbani.....naomba mnisaidie niendelee kutumia yale maji au yatakuwa yana madhara tuache kutumia.....?
cc ushiboy Mnyalu Junior Gwangambo
aisee naishi kwenye jamii yenye nyoka lukuki..nitashukuru kweli nikipata elimu yao,hususani kifutu ndio wapo mno..na nifanyeje kuondoa hawa tandu ni wamejaa balaa
Yaan nachukia sana nyoka yani adi nywele zimesisimka
warembo nyie kazi yenu mnaogopa ogopa tu
Sumu ya nyoka inasadikiwa kuhifadhiwa kwenye nyongo yake. Na nyoka huitoa sumu hii mara tu anapohis kushambuliwa na adui au kujihami na hatari fulani.
Hivyo basi hata ikitokea eidha nyoka akayapitia au hata kuyanywa maji kwenye kisima cha maji halafu na wewe ukayatumia yale maji ni kwamba hutadhurika.
Hata kama binadamu atakula chakula fulani ambacho kimeliwa na nyoka kama vile uyoga au tunda fulani pia hatadhurika.
Sumu ya nyoka itakuwemo kwenye maji au chakula endapo:
Wakati huyo nyoka yupo kwenye hicho kisima alihisi hali ya hatari kama vile kutishiwa kuuawa na binadamu au kiumbe chochote na akaanza kutema sumu;
Nyoka kafia kwenye hicho kisima na kaoza kapasuka
Umemuulia nyoka huyo kwenye hicho kisima. Hapo sumu itasambaa kwani akichanika au kupasuka sumu yake inaweza ikatoka na kuchanganyika na hayo maji.
Ifahamike pia kuwa hata fimbo uliyotumia kumuulia nyoka ichomwe moto au itupwe mahali salama kwani ikitumiwa kumpigia mnyama kama vile ng'ombe, mbuzi, punda nk na kwa bahati mbaya ikasababisha mchubuko basi sumu hiyo ya nyoka itamuathiri huyo mnyama.
Ushauri wangu kwako:
Kama huyo nyoka uliyemkuta kwenye hicho kisima hukumtishia hadi akafikia hatua ya kutema sumu na baadaye alijitokea mwenyewe kwa ridhaa yake basi hayo maji hayana madhara. Labda mwenyewe uone kinyaa kutumia maji yaliyoguswa na nyoka.
Kama bado yumo muueni. Km ni majasiri muueni kwa kuponda kichwa chake tu hadi afe. Kumrarua na kumpasua sehemu zake za tumbo kunaweza kukaipasua na kuvujisha nyongo yake ambayo ndiyo yenye sumu na kusababisha sumu kuchanganyika na maji.
Ikitokea wakati wa kumuua mlimrarua na kumpasua fanyeni jitihada za kuyatoa maji yote ya kisima na kukisafisha vyema.
Aiseee.......
Usiwe mvivu wa kusoma
BLACK MAMBA
5. Nyoka huyu anayepatikana sehemu nyingi ya Africa anashika nafasi ya tano huku akiwa anaogopeka sana kwa ukali wa sumu yake na ushambuliaji wake.
Ana uwezo wa kushambulia kwa kurusha sumu hadi mara 12 kwa wakati mmmoja ambayo huweza kuuwa binadamu 10 hadi 25 kwa wakati mmoja.
Ung'ataji wake mmoja hutoa sumu kiasi cha milligram 100 hadi 120.
Huwa anasifika sana duniani kwa kuwa nyoka wa kwanza mwenye mbio ardhini akiwa na uwezo wa kukimbia kilometa 20 kwa lisaa limoja.
KRAIT WA BLUU
3. Nyoka huyu anayepatikana Kusini mashariki mwa bara la Asia na indonesia anashika nafasi ya tatu kwa kuwa na sumu kali, 50% ya kung'ata kwake husababisha kifo au kuparalyse na ni vigumu kupona hata kwa matumuizi ya dawa ya kumaliza makali sumu ya nyoka(Antivenin).
Nyoka huyu pia ana sifa ya kuwashambulia na kuwauwa nyoka wenzake hata wa jamii yake.
Plz, let me make it clear medically, Kuna nyoka ambao ni myotoxic, hudhuru misuli, kuna ambao ni neurotoxic, eg black mamba hudhuru mishipa ya fahamu very dangerous, wengine ni cardio toxic ni moyo direct. For more info PM me.
Chanzo: Listver
Plz, let me make it clear medically, Kuna nyoka ambao ni myotoxic, hudhuru misuli, kuna ambao ni neurotoxic, eg black mamba hudhuru mishipa ya fahamu very dangerous, wengine ni cardio toxic ni moyo direct. For more info PM me.
