warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,382
- Thread starter
- #161
Bongo movies washirikna balaa...!!yaani wanarogana wanajifanya kusomewa kumbe hawana lolote...!!! Sasa dogo janja alikua anarogwa ili iweje?
Hawa wadada na wakaka zao wote...!!! Lao moja wanajifanya maustadhi kumbe hawana lolote
Na Mimi nikashangaa jaman , dogo janja ? Kwa pesa zip? Ila nimekuja kugundua binamu irene uwoya uwa Ana fetish ya kupenda dogo dogo , na janja alimpenda sana ndio maana akawa anamroga ili asiende kwa wengine 🤣