Wafahamu Mastaa wanaotumia nguvu za Giza / ushirikina

Bongo movies washirikna balaa...!!yaani wanarogana wanajifanya kusomewa kumbe hawana lolote...!!! Sasa dogo janja alikua anarogwa ili iweje?

Hawa wadada na wakaka zao wote...!!! Lao moja wanajifanya maustadhi kumbe hawana lolote

Na Mimi nikashangaa jaman , dogo janja ? Kwa pesa zip? Ila nimekuja kugundua binamu irene uwoya uwa Ana fetish ya kupenda dogo dogo , na janja alimpenda sana ndio maana akawa anamroga ili asiende kwa wengine 🤣
 
Na Mimi nikashangaa jaman , dogo janja ? Kwa pesa zip? Ila nimekuja kugundua binamu irene uwoya uwa Ana fetish ya kupenda dogo dogo , na janja alimpenda sana ndio maana akawa anamroga ili asiende kwa wengine
Huwa wanatest kwanza hizi dawa kwa mwanaume wa kawaida, zikitiki anaenda kwa mwanaume mwenye pesa, yule aliechwa anakuwaga kama kachanganyikiwa flani hivi kwa muda badae anakaa sawa... Nishaiona hii rafiki yangu alikuwa kicheche shababi sana ila ana vijisenti tu, huyo dada alimtuliza akawa kama zezeta madem hatongozi tena, badae huyo dada akapata bosi nae akatulizwa hivyo hivyo paka akaolewa, huyo rafiki yngu alivyoachwa hata viatu alikuwa havai..
 
Wanazengo mmezidi kulalamika, mnaletewa umbea badala ya kusikiliza tu mkapita mnaanza midomo kushindana na Mimi , hivi mnajua connection yangu ? , mnanijua vizur? , nyie shukuruni tu nipo humu nawapa umbea siku zinaenda, siku nikipotea humu mtalia na kusaga Meno, maana najua mnavyopenda umbea kuliko kula , mnajua na risk sana maisha yangu kujitoa kafara kuanika mambo ya watu halafu nyie mnakuja midomo juu juu kama nyuchi za bundi mxiee , mnaniudhi mbwa nyie mjue? Yan Tena mkome kuanzia Leo , eti mnajifanya mnanichamba mbwa nyie wakati umbea tu ndo umewajaa, Leo nawapa onyo mbwa nyie mnikome mxieww

Turudi kwenye mada wale mnaopenda umbea na kusoma kimya kimya bila comment za karaha, ifuatayo chini ni list ya mastaa wanaotumia nguvu za giza/uchawi /freemason katika kazi zao , mji mzito huu , duniani kuna mambo nyie acheni tu , list inastaajabisha lakini Ndo ukweli usiopingika, wengine sitawataja maana mpaka mikono inatetemeka kuandika

1. alikiba
2. Diamond Platnum
3 . Irene uwoya
4. Anthony lusekelo
5. Mama rwakatale
6. Muna love
7. Lulu Michael
8. ....
9.....
10....
8. Rais Magufuli
10. Bashite
11. Musukuma Joseph
12. Lusinde
13. Kalamaganda Kabugi
 
We mbwa mwana haramu, usinizoee umesikia? Ntakuchamba mpaka uchanganyikiwe, achana na Mimi , naona unajipendekeza sana , Mimi sio type yako , kauze uchi wako huko , yani Tena iwe mwanzo na mwisho , naona unatafuta kiki kwa nguvu , ntakuchamba mpka utembee uchi barabaran
Mchambe basi tuone anavyotembea uchi barabarani
 
Wanazengo mmezidi kulalamika, mnaletewa umbea badala ya kusikiliza tu mkapita mnaanza midomo kushindana na Mimi , hivi mnajua connection yangu ? , mnanijua vizur? , nyie shukuruni tu nipo humu nawapa umbea siku zinaenda, siku nikipotea humu mtalia na kusaga Meno, maana najua mnavyopenda umbea kuliko kula , mnajua na risk sana maisha yangu kujitoa kafara kuanika mambo ya watu halafu nyie mnakuja midomo juu juu kama nyuchi za bundi mxiee , mnaniudhi mbwa nyie mjue? Yan Tena mkome kuanzia Leo , eti mnajifanya mnanichamba mbwa nyie wakati umbea tu ndo umewajaa, Leo nawapa onyo mbwa nyie mnikome mxieww

Turudi kwenye mada wale mnaopenda umbea na kusoma kimya kimya bila comment za karaha, ifuatayo chini ni list ya mastaa wanaotumia nguvu za giza/uchawi /freemason katika kazi zao , mji mzito huu , duniani kuna mambo nyie acheni tu , list inastaajabisha lakini Ndo ukweli usiopingika, wengine sitawataja maana mpaka mikono inatetemeka kuandika

1. alikiba
2. Diamond Platnum
3 . Irene uwoya
4. Anthony lusekelo
5. Mama rwakatale
6. Muna love
7. Lulu Michael
8. ....
9.....
10....
Duh..!
Mie nimeishia tu pale ulipowaita watu mbwa yaani bahati nzuri mie ni mbwa dume ila sasa nawaza hao wasomaji wengine sijui ni mijibwa koko au ile mijibwa inayokulaga kila kitu mpaka mavi ya walevi.!
 
Freemasons au kwenda kwa waganga?

Hebu liweke vzr hapo!

Nkuambie kitu hakuna msanii asiyeroga Tanzania hii...kuanzia Hip hop mpk kingwendu!!

Sisemi mengi ngoja ninyamaze ila mwaka Jana niliyajua mengi jamani siaminiii!!!kabisaa
Si kweli
 
Hahahaaaa!!!! mjini hapa daah!Mimi nilipigiwa simu mdg wetu huyo aliyepata mtoto sasa,alimpeleka mwanawe alikua anaumwa vihoma vya kitoto hivi,sasa nafika nashangaa balaa...naambiwa kuna msanii katoka hapa sasa hivi....!!!
Huyo mbibi amespecialize kwenye nini hasa? Ni mapenzi na uzazi tu basi?
 
Back
Top Bottom