Wafahamu Mastaa wanaotumia nguvu za Giza / ushirikina


Pablo Blanco

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
4,006
Points
2,000
Age
25
Pablo Blanco

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
4,006 2,000
Freemasons au kwenda kwa waganga?

Hebu liweke vzr hapo!

Nkuambie kitu hakuna msanii asiyeroga Tanzania hii...kuanzia Hip hop mpk kingwendu!!

Sisemi mengi ngoja ninyamaze ila mwaka Jana niliyajua mengi jamani siaminiii!!!kabisaa
Si kweli
 
Diana Spencer

Diana Spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2018
Messages
377
Points
500
Diana Spencer

Diana Spencer

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2018
377 500
Hahahaaaa!!!! mjini hapa daah!Mimi nilipigiwa simu mdg wetu huyo aliyepata mtoto sasa,alimpeleka mwanawe alikua anaumwa vihoma vya kitoto hivi,sasa nafika nashangaa balaa...naambiwa kuna msanii katoka hapa sasa hivi....!!!
Huyo mbibi amespecialize kwenye nini hasa? Ni mapenzi na uzazi tu basi?
 
shushushu_mchokozi

shushushu_mchokozi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Messages
289
Points
250
shushushu_mchokozi

shushushu_mchokozi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2016
289 250
Freemasons au kwenda kwa waganga?

Hebu liweke vzr hapo!

Nkuambie kitu hakuna msanii asiyeroga Tanzania hii...kuanzia Hip hop mpk kingwendu!!

Sisemi mengi ngoja ninyamaze ila mwaka Jana niliyajua mengi jamani siaminiii!!!kabisaa
Duh!
 
THAN0S

THAN0S

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2019
Messages
516
Points
500
THAN0S

THAN0S

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2019
516 500
Kuna msemo unasema "Freemason is not a secret society, it's a society with secrets
Ni vigumu kujua Freemason wanahusikia na nini, what are the motives, how they achieve it, and what is their endgame
Vitu vingi tunavyohisi tu najua kuhusu Freemason ni speculations tu
Kuna watu wako ndani ya Freemason ila hawajui kinachoendelea, kwasababu wanasema freemasonry is a circle within a circle within circle.. Paka ukifika degree za juu za uMason(kuna degree ya 33) ,ndo unaweza ukawa unaijua haswa ufreemason
Ila kinje nje tu Freemason wenyewe ni fraternity ya watu wenye uwezo flani wa kifedha, kiakili, wazifa ama influence au wenye potential ya kuwa na huo uwezo kwenye jamii wanasaidiana kama ndugu kujiendeleza pia kuinfluence na kuiendeleza jamii inao wazungu ka, ndo maana moja ya pillar ya Masons in philanthropy(kutoa msaada)
Masons wana amini sana uwepo wa Spirit world ndo maana moja ya sharti Lao ni members wa nabidi uwepo wa Mungu(usiwe Atheist), ila hawajali ni mungu gani unayeamini yupo kama ni Allah wa waarabu au Yahwe/Elohim wa wa Israel, ama Vishna wa wa hindu..
 
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Messages
520
Points
500
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2017
520 500
mimi nikajua utaleta na ushahidi kumbe ni tuhuma tu,kama unaona wanafaidi na wewe si utumie uchawi
 

Forum statistics

Threads 1,295,975
Members 498,495
Posts 31,229,603
Top