Wafahamu legends wa bongofleva

Wafahamu legends wa bongofleva

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,669
Hawa ni watu ambao kwa mtazamo wangu wana impact kubwa sana kwenye huu mziki wa kizazi kipya "Bongofleva", yaani wameacha alama ambayo haitakuja kufutika vizazi na vizazi, wametoa hamasa kubwa kwa wasanii wengine wa miaka ya kuanzia 2000 na kuendelea;

1. JOSEPH MBILINYI (SUGU)---Huyu ndo msanii aliyeanza kurap siriaz kwa kutumia Lugha ya kiswahili na kukubalika na vijana wengi katikati ya miaka ya 90, akafanikiwa kurelease albam nyingi na kuwafanya wasanii kibao kupata confidence ya kufanya alichokuwa anafanya.

2. JOSEPH HAULE (PROF JAY)----Huyu aliendeleza alipoishia Sugu, kupitia huyu Bongofleva ilitanua fanbase kwa kiasi kikubwa, alifanikiwa kuondoa ile zana kwamba mziki (esp Hiphop) ni uhuni, watu wa rika tofauti wakaanza kusikiliza Bongofleva na kuachana na muziki wa kikongo na taarabu vilivyokuwa vimetawala sana enzi hizo.Wasanii pia walistuka, wakaanza kutunga vitu vya maana. Wimbo wake wa alioufanya akiwa na HBC "CHEMSHA BONGO" ulileta mapinduzi makubwa kwenye muziki huu

3. JUDITH WAMBURA 'LADY JAYDEE'----Alianza game kwa kusuasua, alitoa nyimbo mbili tatu ambazo hazikupata attention ya kutosha kabla ya kuachia 'BOMU' wimbo unaoitwa MACHOZI ambao ulikuwa kama wimbo wa taifa enzi hizo, ukiukosa redioni unaukuta kideoni. Naweza kusema video ya MACHOZI ndio video bora ya kwanza kuachiwa na msanii wa bongofleva, kwa wakati huo ilikuwa inaonekana video babkubwa na ndipo wasanii wakaanza kustuka kwamba na Bongo tunaweza kufanya video kali.Wimbo huo ulimpa mafanikio makubwa ndio maana neno 'Machozi' hadi leo hii bado analitumia kwenye biznes zake. Hata hivyo Jide hauishia hapo, aliendelea kutoa nyimbo n' album nyingi zilizofanya vizuri sokoni. Hadi leo hii haijatokea msanii wa kike aliyeweza kuwa consistent kwenye game kama yeye, ndio maana hadi leo hii zikiandaliwa tuzo, msanii bora wa kike anakuwa yeye hata asipokuwa na single inayobamba hewani.

# Tupia jina la msanii ambaye sijamtaja hapa ambaye unadhan anastahili kuitwa LEGEND
 
tid enzi za gelofrend
matonya enzi za siamini
ay enzi za leo
crez gk enzi za malaika
ferouz enzi za starehe
daz baba enzi za nipetano
daz nUndaz enzi za barua, kamanda
mandojo na domokaya enzi za wanok nok
 
tid enzi za gelofrend
matonya enzi za siamini
ay enzi za leo
crez gk enzi za malaika
ferouz enzi za starehe
daz baba enzi za nipetano
daz nUndaz enzi za barua, kamanda
mandojo na domokaya enzi za wanok nok

sikuelewi
 
Muhahaha... Kweli jamaa kachemka kadandia vibaya anasema enzi pengine hana uwezo wa kukumbuka au kuelewesha watu vizuri msamehe tu

Pengine neno LEGEND ni msamiati kwake, tumsamehe bure
 
Hawa ni watu ambao kwa mtazamo wangu wana impact kubwa sana kwenye huu mziki wa kizazi kipya "Bongofleva", yaani wameacha alama ambayo haitakuja kufutika vizazi na vizazi, wametoa hamasa kubwa kwa wasanii wengine wa miaka ya kuanzia 2000 na kuendelea;

1. JOSEPH MBILINYI (SUGU)---Huyu ndo msanii aliyeanza kurap siriaz kwa kutumia Lugha ya kiswahili na kukubalika na vijana wengi katikati ya miaka ya 90, akafanikiwa kurelease albam nyingi na kuwafanya wasanii kibao kupata confidence ya kufanya alichokuwa anafanya.

2. JOSEPH HAULE (PROF JAY)----Huyu aliendeleza alipoishia Sugu, kupitia huyu Bongofleva ilitanua fanbase kwa kiasi kikubwa, alifanikiwa kuondoa ile zana kwamba mziki (esp Hiphop) ni uhuni, watu wa rika tofauti wakaanza kusikiliza Bongofleva na kuachana na muziki wa kikongo na taarabu vilivyokuwa vimetawala sana enzi hizo.Wasanii pia walistuka, wakaanza kutunga vitu vya maana. Wimbo wake wa alioufanya akiwa na HBC "CHEMSHA BONGO" ulileta mapinduzi makubwa kwenye muziki huu

3. JUDITH WAMBURA 'LADY JAYDEE'----Alianza game kwa kusuasua, alitoa nyimbo mbili tatu ambazo hazikupata attention ya kutosha kabla ya kuachia 'BOMU' wimbo unaoitwa MACHOZI ambao ulikuwa kama wimbo wa taifa enzi hizo, ukiukosa redioni unaukuta kideoni. Naweza kusema video ya MACHOZI ndio video bora ya kwanza kuachiwa na msanii wa bongofleva, kwa wakati huo ilikuwa inaonekana video babkubwa na ndipo wasanii wakaanza kustuka kwamba na Bongo tunaweza kufanya video kali.Wimbo huo ulimpa mafanikio makubwa ndio maana neno 'Machozi' hadi leo hii bado analitumia kwenye biznes zake. Hata hivyo Jide hauishia hapo, aliendelea kutoa nyimbo n' album nyingi zilizofanya vizuri sokoni. Hadi leo hii haijatokea msanii wa kike aliyeweza kuwa consistent kwenye game kama yeye, ndio maana hadi leo hii zikiandaliwa tuzo, msanii bora wa kike anakuwa yeye hata asipokuwa na single inayobamba hewani.

# Tupia jina la msanii ambaye sijamtaja hapa ambaye unadhan anastahili kuitwa LEGEND
Mkuu Jipange upya...

Mkuu nilidhania ungeanzia na kina Nigga One...Saleh Jabri ukawaruka wote hadi Mawingu Studio kwa sasa ndio Clouds FM ambao ndio hao Two Ploud alirekodi kwao Cloud walikuwa na waimbaji wao (Columba ) tena walikuwa na nyimbo nzuri kuna watu kama Sosi B Bingwa wa B,
Ukisema Prof: Kabla hujaiweka Hard Brasters huo ni ukosefu wa heshima ya Music ndio mambo kama yaliyotokea huko Jamaica produsa wa music alipotoa album ya WAILERS aliita Bob Marley and the Wailers ugomvi uliotokea si wa kitoto Peter Tosh akajitoa kundini na kuanzisha Kundi lake....Maana watu walisota wote wakajikusanya wakiishi kwa shida getho wakaanzisha kundi la music wakapeana kazi kuimba na kupiga vyombo album ikatoka ina jina la muimbaji mmoja na wenzake wakiitwa jina la bendi...

So Pro: Jay naye alijiona yupo juu akajitoa hard blasters baadae... Ukimuweka Jay wakina Terry (Teja) nao wanatakiwa wawe near bay wasiachwe kwenye history... Hiyo ni miaka ya 93,4,5 huko walitamba wakapotea...

Mtu pekee aliyehamisisha Bongo Falva Nchini au hata Africa Mashariki na kati au tuseme Africa kwa Ujumla ni Saleh Jabri(Sele Jabri) no Mr ii (ii Proud) jamaa alimaliza na kuduwaza watu Midomo wazi kila wakisikiliza nyimbo zake japo aligezea midundo na miondoko na pia alitoa song zake mwenyewe ya reggae...

Mwenye kuwa na link aweke tujikumbushe time za Sele Jabri....
 
Elewa alichoandika jamaa. ...sugu, pro Jay na lady jaydee ni ma legendary Ktk bongo flavour bila ubishi.
Nigger one(R.I.P) huwezi kumwita legendary, ni mmoja wa watu wa mwanzo Ktk game na mpk anafariki mchango wake ulikuwa bado haujaonekana Ktk kunyanyua bongo flavour.
Saleh jabir huyu ni legendary hakuna ubishi, maana yeye ni mmoja wa waanzilishi na alibamba sana kwa album yake....
Sugu album yake ya mwanzo kairekodi Don bosco chini ya producer Marlon, nashangaa unavyosema karekodi mawingu. ....sugu ni mmoja wa watu waliofanya huu mziki upendwe zaidi sababu ya mashairi yake ya Kiswahili fasaha na nyimbo zenye ujumbe mzuri (kumbuka kabla ya sugu, wengi walikuwa wanaimba kiingereza au kiswahili kisichokuwa na ujumbe wa maana)..kumbuka nyimbo kama madawa ya kulevya, nikianguka, ni wapi tunakwenda. Nk
Pro Jay, hapa sina haja ya kumuelezea maana kila mtu anamjua.
Wapo wengi ambao unaweza kuwaita ma legendary kutokana na michango yao mikubwa Ktk hii fan, hivyo mto a mada yupo sawa kwa hao aliowataja, inachotakiwa na wewe uweke orodha yako kwa wale ambao hakuwataja
 
Umeona sijataja nini au kipi? nimekuambia huyo Mr. II Alikuja kurekodi katika studio za Mawingu unabisha then unakuja na lako kuwa album yake ya kwanza alirekodia studio za Don Bosco.... imeingiaje hapo au ndio kujiona wajua au wamjua zaidi II Proud? niliposema karekodi Mawingu wewe ungebisha tu na sio kubwabwaja tu...

Kama wewe unamuona Nigga one sio Legends kipeleke kwenu... Mashairi yake kama hukuyapenda wewe tu...
 
Hapa hatutaji nani wa kwanza kwenye game. ..tunataja ma legendary. .....nigga one unamuweka legendary kwa kigezo gani? Mashairi gani unayosema uliyapenda? Uliyasikia wapi?
Nitajie nyimbo aliyorekodi two proud mawingu kipindi cha kina columba. ..
Kwa taharifa yako that time two proud hakuwahi karekodi mawingu na usiongopee watu. .....da young mob kama unawajua ndio walirekodi album mawingu na mwaka '94 walijiunga na two proud kisha wakashiriki mashindano ya rap yaliyoandaliwa na Kim & the boyz wakashika nafasi ya tatu. ...wakiwa nyuma ya kwanza unit na hard blasters.
Mwaka '95 ndio two proud akatoa album yake ya kwanza tena hard blasters walimsaidia sana kwenye kurekodi. ...
Usijifanye unajua wkt huna unalojua zaidi ya kusoma kwenye blog za wasiojua.......mi najua na nilikuwepo karibu na wadau wa huu muziki wkt unaanza
 
Elewa alichoandika jamaa. ...sugu, pro Jay na lady jaydee ni ma legendary Ktk bongo flavour bila ubishi.
Nigger one(R.I.P) huwezi kumwita legendary, ni mmoja wa watu wa mwanzo Ktk game na mpk anafariki mchango wake ulikuwa bado haujaonekana Ktk kunyanyua bongo flavour.
Saleh jabir huyu ni legendary hakuna ubishi, maana yeye ni mmoja wa waanzilishi na alibamba sana kwa album yake....
Sugu album yake ya mwanzo kairekodi Don bosco chini ya producer Marlon, nashangaa unavyosema karekodi mawingu. ....sugu ni mmoja wa watu waliofanya huu mziki upendwe zaidi sababu ya mashairi yake ya Kiswahili fasaha na nyimbo zenye ujumbe mzuri (kumbuka kabla ya sugu, wengi walikuwa wanaimba kiingereza au kiswahili kisichokuwa na ujumbe wa maana)..kumbuka nyimbo kama madawa ya kulevya, nikianguka, ni wapi tunakwenda. Nk
Pro Jay, hapa sina haja ya kumuelezea maana kila mtu anamjua.
Wapo wengi ambao unaweza kuwaita ma legendary kutokana na michango yao mikubwa Ktk hii fan, hivyo mto a mada yupo sawa kwa hao aliowataja, inachotakiwa na wewe uweke orodha yako kwa wale ambao hakuwataja

Asante kwa kunisaidia
 
Mlaleo Kuwa wa kwanza kwenye game haimaanishi kwamba we ndo mkali kuliko waliokuja baada yako, kinachomata ni wewe umeifanyia nini game. Hao wakina Nigga One wangapi wanawajua? Maana huwezi kusema mtu ni legend wa muziki wakati ni underground. Sugu alijitengenezea himaya yake, na kwa michano aliyokuwa anasupply kijana wa wakati huo lazima umjue japo redio ya FM ilikuwa moja tu.

Halafu HBC nimeitaja hapo kwenye maelezo ya Jay. Profesa Jay ndo alikuwa kichwa HBC, na hilo unahitaji kubishana? CHEMSHA BONGO, wimbo ulioitambulisha HBC verse zote kachana Jay. Then akaja kuprove zaid kwamba ye ndo kichwa cha kundi baada ya kutoa Album yake ya kwanza kama solo artist 'MACHOZI JASHO NA DAMU' na kukimbiza ile mbaya kwa mapini ya kihistoria humo ndani. Hebu niambie baada ya kundi kuseparate wakina Terry(Fanani) walifanya nini?
 
Last edited by a moderator:
Tusisahau mchango wa Mtoto wa Dandu naye kafanya yake kwe muziki huu,ningeuelezea sema sema kuna mtoto wa 90' hapo juu anajifanya anaujua mziki na mimi staki mabishano
 
Mkuu Jipange upya...

Mkuu nilidhania ungeanzia na kina Nigga One...Saleh Jabri ukawaruka wote hadi Mawingu Studio kwa sasa ndio Clouds FM ambao ndio hao Two Ploud alirekodi kwao Cloud walikuwa na waimbaji wao (Columba ) tena walikuwa na nyimbo nzuri kuna watu kama Sosi B Bingwa wa B,
Ukisema Prof: Kabla hujaiweka Hard Brasters huo ni ukosefu wa heshima ya Music ndio mambo kama yaliyotokea huko Jamaica produsa wa music alipotoa album ya WAILERS aliita Bob Marley and the Wailers ugomvi uliotokea si wa kitoto Peter Tosh akajitoa kundini na kuanzisha Kundi lake....Maana watu walisota wote wakajikusanya wakiishi kwa shida getho wakaanzisha kundi la music wakapeana kazi kuimba na kupiga vyombo album ikatoka ina jina la muimbaji mmoja na wenzake wakiitwa jina la bendi...

So Pro: Jay naye alijiona yupo juu akajitoa hard blasters baadae... Ukimuweka Jay wakina Terry (Teja) nao wanatakiwa wawe near bay wasiachwe kwenye history... Hiyo ni miaka ya 93,4,5 huko walitamba wakapotea...

Mtu pekee aliyehamisisha Bongo Falva Nchini au hata Africa Mashariki na kati au tuseme Africa kwa Ujumla ni Saleh Jabri(Sele Jabri) no Mr ii (ii Proud) jamaa alimaliza na kuduwaza watu Midomo wazi kila wakisikiliza nyimbo zake japo aligezea midundo na miondoko na pia alitoa song zake mwenyewe ya reggae...

Mwenye kuwa na link aweke tujikumbushe time za Sele Jabri....

Ulichotaka kutuonyesha hapa ni ujuaji wako..huna hoja mtoa post yupo sahihi..
 
Hapo ongeza juma necha gwn na inspekta waliifanya bongo fleva ikubalike hata kwa watu wa chini waliimba maisha ya uswahilini. Pia kuna saigon huyu ni mwasisi wa commercial tanzania.. hawa kina ambwene wametoka kwa kukopi staili ya saigon jamaa apewe heshima yake pia.gk anaingia kwenye list hii..nyimbo ya upanga east kabla ya miiko kumi ya rap ilihamasisha makundi ya vijana kuimba kwa kusifia maeneo watokayo..ikaibuka walumendago wa temeke na manzese crew na manyema family..gk apewe heshima yake pia...
 
Naona umewakumbuka mabingwa wa rap katuni.Safi!
 
Ah mkuu umenikumbusha Down with the diplo..! diplomat!
 
Back
Top Bottom