Kuna jambo la kujifunza hapa!Mkuu nafahamu kuwa wasamaria ni wayahudi waliobakia wakati wenzao wamevamiwa na kupelekwa utumwani chini ya Waashuru.
Basi hawa waliobakia walizaliana na gentiles (watu wasio wayahudi) hivyo si wayahudi pure.
Basi waliokuwa utumwani waliporudi waliwatenga wenzao baada ya kujua kuwa wameingiliana na mataifa.
Imefika nitakuja tena