Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,516
- 1,404
nimeona matangazo yakihamasisha wafuasi na wanachama wa chadema wakihamasishwa kukichangia chama katika kuendesha kampeni siku ya ijumaa saa 2 hadi 4, wakitafuta shilingi shilingi za walalahoi, sasa nakubaliana na maneno ya Nape kuwa wafadhili wa chadema wameingia mitini baada ya kuona ukombozi ni ndoto kupatikana kupitia chama hicho, ni kweli sasa chadema wameishiwa pesa za kumalizia kampeni za arumeru na ushindi kuwa ndoto kwa chama hicho.
Hapa waume zako walikuwa wanaomba nini? aua wafadhili walikimbia?