Wafadhili mpaka lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafadhili mpaka lini?

Discussion in 'Sports' started by JAYJAY, Dec 29, 2009.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2009
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,490
  Likes Received: 823
  Trophy Points: 280
  nashangaa vurugu mechi ya kumgombania Manji huko Yanga, kwani timu haiwezi kuendeshwa bila misaada yake.kama vipi mimi naona umefika wakati timu iuzwe kwa mtu anayeweza kueiendeleza.
   
 2. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  Nchi yenyewe inapanga bajeti huku asilimia kadhaa zinatoka kwa wafadhiri........ Itakuwa yanga banaaaa........... Wewe mwenyewe hapo ulipo inawezekana hiyo kiibodi unayotumia umefadhiriwa na ofisi..........
   
 3. e

  echonza Senior Member

  #3
  Dec 29, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna timu kubwa yeyote duniani isiyo na wadhamini. Vinginevyo, timu hishia hapo hapo pindi masuala ya kifedha yanapolegalega. Mfano wa timu zenye matatizo ya kiufadhili ni Portsmouth ya Uingereza ambayo sasa hivi iko mkiani kwenye msimamo wa ligi. Ilikosa hata fedha za kulipa mshahara wa wachezaji.

  Hivyo, kwa vyovyote vile ili timu iwe imara kushindana lazima iwe na uwezo wa kujiendesha kifedha kwa maana ya kuwa na chanzo imara cha mapato ikiwa ni pamoja na wafadhili. Mimi mnazi wa Manutd kwa mfano wa wafadhili wake ni AIG, Nike, Audi, Hi Seoul, Kumho Tires n.k. Hiyo in mifano kwa manutd pekee, hivyo iwe Barcelona, Arsenal, Chease na timu zote lazima zina wafadhili wao wa kuaminika.

  Hivyo Yanga siyo vibaya kuendelea kumuomba Manji aendelee kufadhili timu kama hawajapata wafadhili wengine wa kuaminika maana ni muhimu kwa mafanikio ya club.
   
 4. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2009
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,490
  Likes Received: 823
  Trophy Points: 280
  Angalia ushabiki usikupofushe, maana naona unaongozwa na jazba.
   
 5. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2009
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,490
  Likes Received: 823
  Trophy Points: 280
  naomba tofauti ya mfadhili na mdhamini tafadhali!
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Bila Fisadi Manji kwasasa Yanga Mdembwedo tu....
   
 7. N

  Nampula JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
Loading...