[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hyo naona ndoYani ukimwangalia mkagongana tu macho ashawasha pikipiki, sijui kwenye vikao vyao ndo ajenda zao manake ni kama wote wana tabia moja.
Mbona unataka kubadili thread kutoka bida boda mpaka wapiga debe?Mi wenye kelele na wanaofata hadi miguuni huwa sishuhuliki nao kabisa nashuka kwenye gari
naenda kijiweni,nachagua boda aliyekaa katulia napanda
Hio pia kwa wapiga debe stand wanatabia ya kuuliza unaenda wapi?,haujakaa Sawa wanaanza vuta begi lako
Hahaha kuna Dada alivutiwa begi mpaka likachanika jamani!!!!
Mm hadi kufika stand Ina maana najua wapi naenda,magari yameandikwa najua ninalo panda,yaniiii
Inakera sana hiyo tabia yao,ina haribu mood kabisa
Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye maada.
Hivi sasa tunatambua bodaboda imekuwa ni kazi inayowasaidia vijana wengi sana kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu kitu ambacho ni kizuri sana.
Lakini kazi hii baadhi ya maeneo inafanywa kwa kukosa weledi na maarifa ya kibiashara, sijui ni kwa sababu wamekuwa wengi sana au tatizo nini?
Nakereka na tabia ya vijiwe vya bodaboda yaani mtu ukitokeza tu kwenye kona wanaza kukupigia honi na miluzi utafikiri mbuzi au mbwa kaiba mboga wengine kukukimbilia hovyo hovyo. Hivi kwanini msitulie tu kijiweni abiria si tunajua mnapopatikana.
Saa nyingine maeneo ya usafiri ukishuka tu kwenye gari kelele kibao za bodaboda na ukizubaa tu mara huyu kasha chukua na begi yaani tabu tupu.
Kwanini msitulie kijiweni mkawa mnabeba abiria wenu vizuri kwa zamu, akija abiria anaenda na huyu, akija mwingine anaenda na huyu mnakuwa na rotation nzuri kwa ustaarabu ili kila mtu apate mkate wa kila siku hizi papara zenu zina boa bana.
Nawapongeza bodaboda wa Mwanza na Tabora kidogo watulivu na hizi tabia ni chache kwao kama sio hawana kabisa.
Lakini baadhi yenu badilikeni, Pia vaeni vizuri hiyo ni kazi kama kazi nyingine mnajirundika makoti machafu na kofia za hovyo na hiyo miziki ya ajabu ajabu tena kwa sauti ya juu plus kuendesho hovyo.
Yani ukimwangalia mkagongana tu macho ashawasha pikipiki

Tumesikia tutabadilika taratibu Ndugu.Habari wakuu,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani ukimwangalia mkagongana tu macho ashawasha pikipiki, sijui kwenye vikao vyao ndo ajenda zao manake ni kama wote wana tabia moja.
Hasa msamvu kuna ushenzi huo sana lol.Mi wenye kelele na wanaofata hadi miguuni huwa sishuhuliki nao kabisa nashuka kwenye gari
naenda kijiweni,nachagua boda aliyekaa katulia napanda
Hio pia kwa wapiga debe stand wanatabia ya kuuliza unaenda wapi?,haujakaa Sawa wanaanza vuta begi lako
Hahaha kuna Dada alivutiwa begi mpaka likachanika jamani!!!!
Mm hadi kufika stand Ina maana najua wapi naenda,magari yameandikwa najua ninalo panda,yaniiii
Inakera sana hiyo tabia yao,ina haribu mood kabisa
Mkuu vyote ni Sawa tu, muhimu angalia point ya muhimu kuhusu kero za barabarani.mbona unataka kubadili thread kutoka bida boda mpaka wapiga debe?
[emoji16][emoji16]Yani ukimwangalia mkagongana tu macho ashawasha pikipiki, sijui kwenye vikao vyao ndo ajenda zao manake ni kama wote wana tabia moja.
TupoBoda boda watakuwa humu?