Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,139
- 9,552
Hawa tulikuw tunadaba tunawakaanga
Hawa tulikuw tunadaba tunawakaanga
Sipendi 😁Dudu je...😂🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Sisimizi gani jamani huyu, nmecheka balaa😂😂😂😂😂Kitu tunachotakiwa kushukuru sana, ni kwamba wadudu ni wadogo. Wangekua ni wakubwa size kama ya ng'ombe hivi au zaidi, tungekua tumekwisha!
Hebu cheki sura ya sisimizi
View attachment 3300487
Unamdanganya nani?😀Sipendi 😁