Wadudu

Wadudu

Screenshot_20250411_185701_Chrome.jpg
 
Hahahhahaa almost miaka 15 yangu hapa JF na kumjua kaka mkubwa sijaona element hizo hahahhahaa
Umeanza na kicheko na kumaliza na kicheko hivyo inaashiria nilichosema ni sahihi ila umeamu kupindisha maneno kumlinda
Eti hujawahi ona element hizo hao ndio moto wa kifuu🤣🤣🤣🤣
 
Hapa umenikumbusha kuna wadudu flani tulikuw tunawaita "Maringiro" au "iringiro" tulikuwa tunawavizia wakiwa wanajamiiana tunawashika tunawafunga na kamba na karatasi yenye ujumbe "Nakupenda sana Anna popote ulipo"😅 kisha namwachia anapaa na hiyo karatasi

Basi watu wakiona au taarifa zikimfikia Anna Hapo Anakuogopa kama mumeo ila utoto 😅😅😅
 
Back
Top Bottom